Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
[/COLOR]
Bob Sambeke kapata ajali ya ndege_labda uniambie wameitungua,..ila Mawalla hata mimi ninaamini kuna mkono wa mtu.
na yule buguma wa bel mont hotelkweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu m4c ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
"..tulitoka kwa udongo..."
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
ama kweli wasi wasi ndio akili..Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
Mkuu unatafuta wa kumlaumu kwa makosa ya mtu binafsi au mapenzi ya Mungu.Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na Sambeke walikuwa mabilionea, na hawa kwa kiasi kikubwa walikuwa mstari wa mbele kuunga mkono upinzani nchini. Kuna tetesi kuwa tangu M4C ianze baadhi ya hawa wadau wamekuwa mchango mkubwa sana kwa kukua kwa vuguvugu hili. Kwa nini hizi roho zipotee bure na kwa urahisi hivi?
Those in bold are ordinary people. Those I mentioned are extra ordinary.Mkuu unatafuta wa kumlaumu kwa makosa ya mtu binafsi au mapenzi ya Mungu.
Tusiwe wapiga ramli, tafuta sababu za watu hao kuondoka, na katika muda huo na mimi nimepoteza rafiki mmoja , mama mdogo, bosi wangu na hata vile vile aliyekuwa mfanyakazi mwenzangu.
Sijui kuna mkono wa mtu?