Nyinyi vizee ambavyo mnajifanya amjazeeka maaini

Nyinyi vizee ambavyo mnajifanya amjazeeka maaini

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Mtakufa bure kwa kutembea na wajukuu zenu. Leo nilikuwa nasimamia kidogo biashara ya familia (Nyumba ya wageni)
Punde kibabu kikaingia na kabinti mjuzi wa mambo. Walipo fika wakawasha Tv wakawa wanacheki movie ya X.
Walipo anza mchezo kwa mujibu wa binti, babu akawa anaiga mastaili ya mzungu.
Mama weee! Babu kurusha rusha miguu na mikono akataka kupata strock.
Binti akaja kuniita ndio tulipo mpa msaada wa kumkandakanda viungo mikono na miguu.
Mababu, kwani mabibi awapo???????
 
Ndo kazi familia ilikutuma uje uifanye pale,
Kwa taarifa yako sasa siji tena na nawaambia wale wazee wenzangu wote tuipotezee hiyo Lodge yenu kwanza mbaya lakini mbaya zaidi kumbe ina wambeya,
umbeya tu umekujaa!!
 
Duh.. sasa mbona umemwaga mchele hapa? huyo alipata strock kwa yake tu, Unadhani ni kwaajili ya hiyo X sijui Y...
 
Sasa si mna njaaa..!
Kumbe wazee wawafanye nin sasa?
Mjin hapaa,kinachowatesa Vishostii siku hizi hampati mabwana wa maanaa..!!
Na hayo maumbo yenu ya JITIII,mutahangaika sanaa,
hampendezi kwa taitii,hata nguva wa mapanaa,nani watakaowadhibiti nyinyi?
Mashosti stara hamnaaa...!
Polen sana...
 
Ukigonga 50, nisake uniambie kama maini yatakuwa yamebadilika

Sasa si mna njaaa..!
Kumbe wazee wawafanye nin sasa?
Mjin hapaa,kinachowatesa Vishostii siku hizi hampati mabwana wa maanaa..!!
Na hayo maumbo yenu ya JITIII,mutahangaika sanaa,
hampendezi kwa taitii,hata nguva wa mapanaa,nani watakaowadhibiti nyinyi?
Mashosti stara hamnaaa...!
Polen sana...
 
ndo maana tunaenda hoteli za kitalii hakuna kuchunguliana kwenye tundu za vitasa.

Chini ya Kahawa na migomba (mndenyiiiii), mnajifunika na majani mabichi mnafanania na mazingira, wachezaji wa kombolela wanalitambua hili
 
Kibabu kilichopata stroke siku hizi mbili tatuuu..........kibabu, kibabu....kibabu.....hebu ngoja! Hivi ukimuona MziziMkavu unamtambua kwa sura? Manake tunaye hapa hospitali kwa tatizo km hilo, japo yeye anasema alikuwa anacheza tu na mtoto ndio yakamsibu hayo
 
Last edited by a moderator:
Ndo kazi familia ilikutuma uje uifanye pale,
Kwa taarifa yako sasa siji tena na nawaambia wale wazee wenzangu wote tuipotezee hiyo Lodge yenu kwanza mbaya lakini mbaya zaidi kumbe ina wambeya,
umbeya tu umekujaa!!

Na atakufa na njaa wacha watu wakate mguu sijui atakula wapi wakati hizo quickie ndio zinampa ulaji maana hata risiti hatoi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom