nyimbo za utotoni!...,

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
nakumbuka baadhi ambazo ni
1.lala mtoto mama aje akuletee mandazi!
2.ukuti ukuti wa mnazi
3.kioo kioo alikivunja nan?
4.ulingoo bayoyo ulingoo bayoyo!
unaweza kuendelea ntarudi kumalizia
 
kitamba changu cheupe kina madoa meusi.., kinyulinyulika mwanangu mwana wa jumbe.....,nasaka mke wangu
 
Back
Top Bottom