Nyimbo za mapenzi za kibongo

Nyimbo za mapenzi za kibongo

umenikumbusha wimbo naupenda sana mie kwenye ze bongo fleva life
Rita by Marlow
Ukweli -Maru na Vumilia..lovely
Bado Umenuna
Daima Na milele

Zilipendwa ......

Penzi Haligawanyiki-Vijana RMX
Kitambaa Cheupe .King Kikii
Hiba....DDC Mlimani
Huba ..Marquiz
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Mami hapo kwenye red
hata mimi unanigusaga kweli..
umetulia sana yaani mmhhh
naupenda sana dear
asante..
 
hahahahah llol
siruhusiwi ni
bad luck ntakuwa hapa
napakwa hina na hamna dirisha
kwenye hii nyumba yetu lol

heheeh lol dah! naomba e mail au hata fax ya huyo mpakaji hina hapo kwenye picha. Hakyababu nishasahau password yangu ya JF. Kanga zinatuzuru wengine jamani
 
heheeh lol dah! naomba e mail au hata fax ya huyo mpakaji hina hapo kwenye picha. Hakyababu nishasahau password yangu ya JF. Kanga zinatuzuru wengine jamani

hahahahahhha lol
Khanga utapata dear
E mail, fax mmhhhhhh
nadhani umeona hali ya
hapa nyumbani kwetu
nilisikia kuna kitu kinaitwa umeme
umewahi kuona?? naomba nitumie basi..
 
hahahahahhha lol
Khanga utapata dear
E mail, fax mmhhhhhh
nadhani umeona hali ya
hapa nyumbani kwetu
nilisikia kuna kitu kinaitwa umeme
umewahi kuona?? naomba nitumie basi..
Fuatilia gharama za umeme halaf nijulishe, nitahakikisha naweka umeme kijiji kizima ili mrembo afungue e mail.
 
Mie nimekolea na hizi hapa:
Hiba ---DDC Mlimani Park
Nishike mkono --MK group
Nimekuchagua wewe---Bob Rudala
Usiende mbali----Bushoke na Kanyomozi
Nipigie ------- Stara Thomas
Binti Kiziwi----Z-Anto
Bembeleza-----Marlaw
Celina ----Mishi na ---
 
nami nazipenda sana hizi

na ile ya beka nataman remix

zile za zamani napenda ile ......Usipate tabuuuuu Neema uliyoyafanya sio mageni hapa duniani eeeee
hata sijui inaitwaje

Unaitwa Neema wa DDC Mlimani Park Orchestra na huyo anaeongoza kuimba
ni COSMAS THOBIAS CHIDUMULE.
Dah enzi zile bwana Ujumbe mwanana.
 

Harusi namba 2, nadhani ni miaka ile ya sabini mwanzoni...! 1972
 
Last edited by a moderator:
Tunachogombea Nini

 
Last edited by a moderator:

Harusi namba 2, nadhani ni miaka ile ya sabini mwanzoni...! 1972


Dahhh
safi sana mkuu
Naona unakumbukia enzi
za Zilizopendwa..
 
Last edited by a moderator:
MV mapenzi,
Meli ya wapendanao,
Moyo kama Bahari,
Manahodha mimi na wewe,

Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
Kuna papa, nyangumi tena wale wa hatari
Hawapendi kuiona meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe safari

 
Last edited by a moderator:
EMT HUO WIMBO NAUKUBALI SANA! Mwingine ni ule. Kosa la marehemu-Hakuvaa condom!
 
Back
Top Bottom