The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
langu jichooooooooooo
Lizzy wenyewe si umeona kakimbia kwa aibu, unajua Lizzy ni mtoto wa bibi yangu so hatuwezi kuchumbiana, sasa alishangaa sana nilipoandika vile, dah! mimi mwenye sichanganyi mpaka mida hii, nina hakika kesho kutakuwa na kikao cha familia.kama ni mapenzi ndio haya naona bora nikimbieeeeeeeeeeeeeee,nimechoswha na vituko na vipigoooooooooooooooooo
hehehe halaf nimejaza form malkia aniadopt, nikikubaliwa mtakoma hapa JF.Nasikia Malkia kawatembela kitaa angalia tu msije mkampiga tukio mkaondoka na vitu vyake washikaji zako wa uswahilini sio kabisa
YouTube - Cabo Snoop - PrakatatumbaNakuona tu.abaaaaa baaaa baaaaaaaaaaaaa,abaaaaaaaaaaa baaaaaaaaaaaaa baaaaaaaaaaa mprakata tumbaaaaaaaaaa
Lizzy wenyewe si umeona kakimbia kwa aibu, unajua Lizzy ni mtoto wa bibi yangu so hatuwezi kuchumbiana, sasa alishangaa sana nilipoandika vile, dah! mimi mwenye sichanganyi mpaka mida hii, nina hakika kesho kutakuwa na kikao cha familia.
SIWEMA I - Dar International(Marijani)]
Siwema, usinipe mateso ya moyo,
Na sasa nimechoka, ukweli nasemaaa aah,
Nia na madhumuni yako,
nimeshavitambua siwema dada,
Najiepusha nawe, maaamaa ahaaa
Unajitapa, mbele ya rafiki zako,
Kwamba mimi sina la kusema mbele yako,
Umeniweka kwenye kiganja,
Unalotaka, ndilo ninalofanya,
Sababu wewe ni mzuri sana,
Siwezi kupata mwingine kama wewe,
Siwema dada unajidanganya.
Kibwagizo:
Nimezunguka Tanzania Bara aaah
Unguja na Pemba nimefika aaah
Nimewaona warembo wenye sifa aa
Wenye kujipamba wakapambika
Kwa hiyo unielewe hivyo dada
Sibabaishwi na sura aa
Napenda Tabia njema aa
Tabia njema ndiyo silaha kwako
Sibabaishwi na sura aa
Napenda Tabia njema aa
Kila mtu atakupenda dada
Sibabaishwi na sura .....
Usifikiri mimi limbukeni dada
Sibabaishwi na sura aaah
Kweli dada, kweli dada,
Sibabaishwi na sura aaah,
YouTube - juma nature inaniuma sanaWow!!!! mimi pia nasisimka sana na wimbo wa Maunda Zolo... Chaguo langu ni wimbo wa JUMA Nature alivo kuwa anamlalamikia Sinta!!! Kweli ukisiliza vizuri utagundua jamaaa alikuwa na hisia kali. Wadau jina limenitoka anae ukumbuka atatujuza.
Huo wimbo nikiusikiliza mwanzo mwisho huwa nacheka Juma Nature ana methali zake sijui mwenyewe huwa anazitoa wapi kuna sehemu anasema "Huyu ni mtoto wa mzee mwalubadu maarufu kwa kufua ngadu" hiyo sehemu huwa inanichekesha sana.The Finest..... Nashukuru sana... yaani we acha tu.. Inaniuma sana nikifiriaaa waga nina lia.....yaani hapa nacheka tu.
We Sonia aliyoimba Micky!!!?Mtoto sonia mimi nimekuzimia ktk kukupenda mimi nimeonyesha nia.
Kuna nyimbo nyingine za mapenzi nikizisikiliza huwa natamani ningekuwa naimbiwa mimi.
Mfano wimbo wa sorry sana na daima na milele za Marlow
Kwa sheria za Kamasutra love lazima iwe blind, kama umeona basi ujue bado haujapenda. Si unaona mimi bado nakupenda tu hata nikiona umequote post za ze finest.love is blind lkn mabn macho yangu kama yameona vzr?au ni kweli sioni?poor me