Nyimbo za kuingilia kwenye harusi 2019

Nyimbo za kuingilia kwenye harusi 2019

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Habari zenu wakuu,

Huu ni uzi maalumu wa kuandika nyimbo nzuri za kuingilia ukumbini maharusi.

Kama una idea ya wimbo mzuri ambao maharusi wakiingia nao basi lazima watu wengine wasimame kuimba na kucheza weka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom