mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,330
- 4,854
Unakuta nyimbo inasema " bora niinjoi maisha mafupi matamu si simpo, kama kumpenda bora nimpende mama yangu kama kupenda nitajipenda mi mwenyewe, sasa kwa hali hiyo msinyimane tu unyumba na ndoa kuwa ngumu, kwa niaba ya wana ndoa woote tanzania kwa pamoja tukaushitaki mziki wa bongo fleva kwa kuharibu ndoa zenu