Natofautian na wewe kwenye hili kumbe wewe hujafika Rukwa ukajionea kwa macho.Hata kidogo Kigoma ukitoa hiyo mikoa mipya bado haiwezi kuwa nyuma,nimetembea almost Tanzania kusema ukweli Kigoma inaizidi mikoa ya Lindi, Rukwa na hata Singida kwa maendeleo.Sema ule ukiuzikiliza vizuri walisema kuwa Kigoma ya sasa siyo ya zamani kwamba imesonga mbele na huo ndo ukweli Kigoma ilivokuwa mwaka 2000 sio kama ilivo mwaka huu 2013 lakini Lindi, Rukwa na Singida jinsi ilivokuwa mwaka 2000 ndivo ilivo hata kama kuna mabadiliko ni kwa asilimia zisizozidi 10 wakati kwa Kigoma mabadiliko katika kipindi hicho yanaweza kuwa hata 50%. Reka dutigite KigomaNitoe angalizo kwamba sijauskiliza huo wimbo coz hata ukifungua hiyo link haiku direct kwenye wimbo! Tatizo langu kwa hawa jamaa zetu wa Kigoma ni kutoimba ukweli kwenye Leka Dutigite, wimbo ni mzuri lakini una paint picha tofauti kabisa na mkoa wenyewe. kama hujafika Kigoma ukiskiliza ule wimbo unaweza kudhani ni peponi! The matter of the fact is, ukiacha mikoa mipya iliyoundwa kwa sababu za kisiasa recently ie Manyara, Katavi, Kigoma inaweza kuwa iko mkiani kwa maendeleo arguably!
tatizo ni kuwa mikoa mingine hawanaga sauti za kuimba, hivi kuna mwanmziki kutoka Kilimakyaro? sijaonaga
Ahsante sana mkuu kwa kaniweka sawa, nadhan hapo nilichanganya habari. Nashukur sana! ila nami ningependa kurekebisha hilo jina, ni Masinge na c *******.
Nami mimi sijawahi kusikia mwanamziki kutoka Rukwa, Katavi na hata Mara
Natofautian na wewe kwenye hili kumbe wewe hujafika Rukwa ukajionea kwa macho.Hata kidogo Kigoma ukitoa hiyo mikoa mipya bado haiwezi kuwa nyuma,nimetembea almost Tanzania kusema ukweli Kigoma inaizidi mikoa ya Lindi, Rukwa na hata Singida kwa maendeleo.Sema ule ukiuzikiliza vizuri walisema kuwa Kigoma ya sasa siyo ya zamani kwamba imesonga mbele na huo ndo ukweli Kigoma ilivokuwa mwaka 2000 sio kama ilivo mwaka huu 2013 lakini Lindi, Rukwa na Singida jinsi ilivokuwa mwaka 2000 ndivo ilivo hata kama kuna mabadiliko ni kwa asilimia zisizozidi 10 wakati kwa Kigoma mabadiliko katika kipindi hicho yanaweza kuwa hata 50%. Reka dutigite Kigoma
Lady Jaydee na Jerry Nashon ni wa Mara,Comando Hamza Kalala ni wa Rukwa au ulimaanisha hawa ubongo flava?
Ndo nataka wa Bongo fleva