Samahan we ni ke au me?Waaah
Mm au .....citizen B[emoji23][emoji23]Samahan we ni ke au me?
Usipoitaja WAAH yake Diamond Platinumz a.k.a Dangote akimshirikisha Fundi wa Muziki Barani Afrika Koffi Olomide utakuwa na Uwendawazimu.Mazee niaje?....
Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20..unahisi ipi ni nyimbo Kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020...
Kwangu Mimi
Nakuja by mdogo balaa ni nyimbo Kali zaidi ya kufungia mwaka
Radha mpya ya singeli,mashairi yametulia
Kwangu ni hit ya mwaka....
Ya kwako ni IPI?
Acha pigo za ki-kolo..sasa si uitaje wewe kama unaona ni nzuri?Usipoitaja WAAH yake Diamond Platinumz a.k.a Dangote akimshirikisha Fundi wa Muziki Barani Afrika Koffi Olomide utakuwa na Uwendawazimu.
Team Kiba ( Team Laana Kuum ) utawajua tu.Acha pigo za ki-kolo..sasa si uitaje wewe kama unaona ni nzuri?
N'jomba nchumaliYa nani mzee?
Ke=Kenge,ke au me ndio nini?