Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,204
- 2,639
Mazee niaje?
Tukiwa tunaufunga huu mwaka wa double 20, unahisi ipi ni nyimbo kali zaidi ya kuisikia ndani ya 2020?
Kwangu mimi ni;
Nakuja by Mdogo, balaa, ni nyimbo kali zaidi ya kufungia mwaka.
Radha mpya ya singeli, mashairi yametulia, kwangu ni hit ya mwaka.
Ya kwako ni ipi?