Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huachi uchokozi??/
hahaaa unataka kunifuta machozi???
Wakuu mmeniharibia siku yangu, kwaherini!
lola tumekupa the boss akufute machozi.tunamwamin na ni kijana mstaarabu.hakika atakufuta machozi.bila shaka hata wewe umefurahi kumpata.makofi tafadhali.mia
binafs kuna nyimbo 2 ambazo nikizisikiliza tu lazma nijikute machozi yaninitiririka 1. Ulivyoagiza kabla ya kufa - (Roman Catholic) hii inanikubusha sn wakat wa msiba wa marehem baba yangualiyekufa nikiwa na 7yrs na dkk 2 kabla hajafa aliniita na kunihusia. 2. A Song for mama-BOYS 2 MEN.
Kwa wale wanaume wanaokataa watoto wao hii yaweza kuwaliza
Your child ya Mary J. Blige
Mary J. Blige - Your Child - YouTube