jaribu kumsikiliza kweli unaweza utalia
wapendwa kila ninapoisikiliza hii nyimbo huwa inaniliza sana na kunitoa machpzi nahisi kama huyu Justin Bieber alinitungia mimi maana inaniguza kwa 90%... I started to live as single family with mamy when i was 8 yrs
This is the song that makes me cryOne More Day by Diamond Rio - The Last Time - YouTube
This is the song that makes me cryOne More Day by Diamond Rio - The Last Time - YouTube
This is the song that makes me cryOne More Day by Diamond Rio - The Last Time - YouTube
waooo i like it 2!
huwa naku imagined kama A VERY STRONG WOMAN.
sasa how hii nyimbo inakuliiza?any story behind it???
But crying is not a weakness Boss
yes....and my point is i didnt imagined her crying for just a song...
..yes it is not a weakness.....but it raises a curiousity....
mfano alieanzisha thread analia kwa sababu nyimbo anaona inazungumzia life yake...
so how about her???????
It could be that the song is very sentimental and evocative to her....
Boss when was the last time you cried??lol......
now i want to hear from her...lol
huwa naku imagined kama A VERY STRONG WOMAN.
sasa how hii nyimbo inakuliiza?any story behind it???
Boss when was the last time you cried??
Kumbe uko fit THE CHAMP umeiona yah scene ya mwisho ukiniuliza mimi naweza kusema hata directors wa movie wasingeiweka lakini i believe kuna kitu inafundisha thouhuwezi amini....
zamani like ten years ago....
nilitazama filamu inaiitwa THE CHAMP...imechezwa na baba yake Angelina Jolie.....
nililia kabisa kwenye scene ya mwisho....na hiyo ndio first na last kulia au kulizwa na nyimbo au movie...
walio iona hiyo movie ya THE CHAMP wanaweza kuongea zaidi...
Kumbe uko fit THE CHAMP umeiona yah scene ya mwisho ukiniuliza mimi naweza kusema hata directors wa movie wasingeiweka lakini i believe kuna kitu inafundisha thou