Nyimbo gani za Bongo 5 kali kwako kwa 2016 ?

Me nakutajia ila wasanii siwajui
Kuna haka kawimbo kinakonga sana nyoyo zangu nikikasikia
Ccm mbele kwa mbele,
Wataisoma namba

Na ka chorus kao yaani

Hatunywi sumu, hatunyongi
Ccm mbele kwa mbele×2

Na kale ka sauti ka Komba inasound poa sana masikioni mwangu
 
1. aje by alikiba
2. chafu pozi by bill nas
3. too much by darasa
4. roho by fid.q
5. mboga 7 by mr blue
 
Hivi ule hainaga ushemeji wa mwaka gani?

Yule mduanzi kibongo bongo ndo kaua kwa mwaka huu wa 2016....

Anyway zangu mimi ni hizi
1. Natafuta kiki - rayvanny
2. Unconditionally bae - sauti soul ft kiba (japo ni ya majirani)
3. Kidogo by mond
4. Kokoro - rich mavoko
5. Too much - darasa


By the way huyu Darasa kaja kuharibu hali ya hewa na hii kitu yake Muziki....
 
1. CCM mbele kwa mbele-KOmba
2.Mtaisoma namba-TOT
3.Mzee kaza buti, mpaka wakome-Ninyo
4.Pesa zimekatika-Chama kubwa.
5.Wataishi kama Shetani-Bwana Mkubwa.
Duh mbona zingine za mwaka jana hapo? You made my evening aisee
 
Kuliko jana Sauti Sol
Perfect Combo Joe Makini ft Chidinma
Sweet Mangi Nikki wa II ft Chin Bees
Ndi ndi ndi Jide
Kama utanipenda Darassa

Bonus
Arosto GNako
Muziki Darassa
Ule wimbo wa Yemi Alade ft Sauti Sol
 
1.Diamond- Utanipenda?
2.Rama Dee-Kipenda Roho
3.Salome-Diamond
4.Songa- Mwendo Tu.
...........to be continue
joanah malizia namba 5
 
1.hakuna ajira-waalimu,madaktari nk. 2.hakuna uhuru wa kuzungumza.-watanzania wote 3.hakuna mvua msimu wa kilimo tanzania kote-wakulima na wafugaji 4.ongezeko la wanafunzi weng mashuleni pasipo kuongezeka kwa miundombinu.-tanzania wide 5.ukata wa pesa na kuishi kama mashetani-wapiga dili na wafanyabiashara wote.
 
1..Kama utanipenda........Darasa
2..To Much.......Darasa
3..Muziki......Darasa
4..Moyo Mashine.....Ben pol
5..Mwendo tu......Songa
 
1.Moyo Machine-Ben Po
2.Muziki-Darasa
3.Bado-Harmonize
4.Kidogo-Diamond
5.Aje-Alikiba

Bonus
1.Mboga saba-Blue
2.Kwetu-Raymond
3.Salome-Diamond
4.Too much-Darasa
5.Ibaki Story-Mavoco
6.Kokoro-Rich Mavoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom