Nyie wanawake wazuri

Nyie wanawake wazuri

francis kibiki, Uyasemayo yanaukweli ila kwanini kama hakuhangaishi unalalamika.

Nadhani kama mwanaume usiyeyumbishwa na uzuri wa mwanamke.

Tongoza akileta drama acha endelea na mishe zako....hii ndiyo maana ya kutokubababaishwa.

Kutokubabaishwa inamaana unamwona kawaida saana. Huna muda wa kupoteza kuanza kuwaza kakuletea drama.
 
Swala si kuangalia mwanamke huyu ni mzuri ana nyodo au mwanamke huyu ni wa kawaida anafaa kuolewa.

Mbona tunaona wanawake wazuri wengi tu wanaolewa bila tatizo na wanawake wa kawaida nao wanaolewa bila tatizo?. Tatizo lilokuwepo ni watu tu kuelewana na vile wameendana ktk level zao.

Uzur au kutokuwa mzuri hio sio sbb ya mtu kuolewa au kutoolewa, mana wapo wazur wameolewa na hawana nyodo kwa waume zao, cha msingi kikubwa cha kuangalia ni tabia ya huyo mwanamke, vile interest zenu zinaendana na utu wake wa ndani upoje.

Kama yeye amekufanyia nyodo bs jua kuwa amuendani , ameona kuwa humfai na hamfanani kilevel, ss ww katafute level yako, yule ambaye ataona ww una umuhimu wa kiasi gani kwake. Lkn usilaumu eti wanawake wazur watabaki kuchezewa, hiyo kitu hamna, na nyie nyie ndy wa kwnz binti akiwa mbaya mnaanza kumnanga mie siwz oa mtu km yule.
TAFUTA LEVEL YAKO.
 
Hahaha nimecheka saana huu uzi....

Wakuu mna hasira si kitoto.
 
Uyasemayo yanaukweli ila kwanini kama hakuhangaishi unalalamika.

Nadhani kama mwanaume usiyeyumbishwa na uzuri wa mwanamke.

Tongoza akileta drama acha endelea na mishe zako....hii ndiyo maana ya kutokubababaishwa.

Kutokubabaishwa inamaana unamwona kawaida saana. Huna muda wa kupoteza kuanza kuwaza kakuletea drama.
tabia ya wanaume kulalamikia wanawake inakua kwa kasi sana sijui tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANAWAKE WAZURI HII INAWAHUSU SANA[emoji28][emoji7]

Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo usidhani utamtetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na Akili zao kichwani urembo wako hauwasumbui uzuri wako hauwatunishii walet zao na utashangaa no one is paying attention watu utakaowapata ni walewale wazembe wa fikra na hawana future utabaki unatumiwa bure kila siku unatoa macho ukimpata mwanaume anaekupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri la hasha mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo kakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta unaolewa na "KIOO" cha chumbani kwako. Maana ndicho kinachokudanganya".

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechezea za uso nini mkuu!?
 
Back
Top Bottom