financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,176
- 43,543
Sura,shape."Watasema povu limekutoka"
Ila mkuu....mwanamke mzuri ndo yupoje na mbaya yupoje??
Haya mambo yapo sana. Na wanaojiona warembo sana , wanaongoza kwa majuto na kutotambua watu wakweli kwao. Ila wale tunaowaona wabaya ndiyo wanaojitunza sana kwa umakini na ndiyo wanaokutana na neema na bahati za kuolewa na kuwatambua watu sahihi kwao.Hahahahaaa yn mkuu unaonesha kabisa una ghadhabu ya hali ya juu.......any way...
Ni kweli mabinti warembo wa sura wengi wanakuaga na overconfidence inayowafanya washie kwnye kuguswa ovyo na kuachwa na wanaume.
....wengi hawajui nn maana ya kua "wife material" na hawana kabisa hizo sifa za uwife material.
Bahati nzuri au mbaya vijana wengi wanawakwepa sana mabinti wa aina hasa linapofika swala la kuhitaji mwanamke wa kumuoa.....
Sasa sijui itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba unataka kutuaminisha kuwa ww ni moja ya hao wazuri ambao mtoa mada anawazungumzia.....Hv unajua wanawake wazuri ww...[emoji848][emoji34] ......[emoji1][emoji1][emoji1] mnafurahisha. Mtoa mada na wenzako poleni.
Sasa, mbona mtaani na kwenye maisha ya kawaida wanawake wazuri, tena wazuri haswa wana maisha yao safi kabisa? Wameolewa, wana watoto, na hawatumiwi na kuachwa? Mtu unajifariji na illusions zako?
Ukiona umeletewa nyodo na mdada mzuri jua wewe ni takataka na ulitaka akukubali hata kama upo hovyo?
Jipangee, tena haswa manake wanafoleni kubwa tu na hukidhi vigezo.
Nimekuaminisha sehemu gani kama sio unajiaminisha mwenyewe?Kwamba unataka kutuaminisha kuwa ww ni moja ya hao wazuri ambao mtoa mada anawazungumzia.....Hv unajua wanawake wazuri ww...[emoji848][emoji34] ......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajidhihirisha kuwa ye ni mbovu ....afu anatamani angekua ndo hao wanawake wazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You're repulsed? Thank God!! For a minute there I thought I attracted trash.Kwamba unataka kutuaminisha kuwa ww ni moja ya hao wazuri ambao mtoa mada anawazungumzia.....Hv unajua wanawake wazuri ww...[emoji848][emoji34] ......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ukiandika kwa kingereza ntakuona wa maana Sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]You're repulsed? Thank God!! For a minute there I thought I attracted trash.
😄😄😄 mnafurahisha. Mtoa mada na wenzako poleni.
Sasa, mbona mtaani na kwenye maisha ya kawaida wanawake wazuri, tena wazuri haswa wana maisha yao safi kabisa? Wameolewa, wana watoto, na hawatumiwi na kuachwa? Mtu unajifariji na illusions zako?
Ukiona umeletewa nyodo na mdada mzuri jua wewe ni takataka na ulitaka akukubali hata kama upo hovyo?
Jipangee, tena haswa manake wanafoleni kubwa tu na hukidhi vigezo.
mimi huwa napenda kuwaambia vijana wenzangu kuwa wadate level zao ,mfano tu usifikiri leo hii tanasha atamletea nyodo Mondi au eti Beyonce atamletea nyodo jay z kisa tu yeye mzuri ,NO nyodo zinaanza pale ambapo unadate na mtu ambaye sio level zako au ambao mnafanana tu ,yani unataka kudate na mtoto mzuri ambaye mnafanya kazi ofisi moja au wote mpo chuo mnasoma ,never na hapo lazima utateswa tu .MWANAUME TAFUTA HELA NA DATE LEVEL ZAKO.Mkuu hapa unapigia mbuzi gitaa ukitegemea acheze. Wanawake wazuri wote duniani wana tatizo la kisaikolojia ambalo umelieleza vizuri tu. Mara tu mwanamke anapopevuka na kujigundua kwamba yeye ni mzuri na wanaume wengi wanamtaka, akili yake hua inabadilika na anakua mtu mwingine kabisa. Anaanza nyodo, majivuno, kujisikia na anakua hajali sana kukuumiza au kukukosa wewe maana ana foleni ndefu ya watu wanaomsumbua, kuanzia wazee, wenye hela zao, vijana, mahendsamu nk. Infact mwanamke mzuri akiwa na wewe, anaona kama anakupa "favour" au anakusaidia so anataka wewe ndio ushukuru kua nae na umnyenyekee. Hiki ndio ambacho hua kinafanya wanawake wengi wazuri kuishia kuchezewa na kuachwa kwasababu kila mwanaume atakaekua nae atagundua tu kwamba hawezi hizo drama na atabwaga manyanga. Cha kukushauri mkuu wewe ukipata mwanamke mzuri piga mzigo sepa usijidai umempenda sijui unataka kumuoa utaishia kuteseka sana juu yake na mwisho atakuacha. Kama unataka kuoa tafuta binti mzuri wa kawaida anaejiheshimu weka ndani.
hahah nadhani mmi sio mmoja wa wenzake ,, mtu anadate mtu ambaye sio level zake akipigwa kibuti anakuja kubwabwaja humu .[emoji3][emoji3][emoji3] lamda tumpe task.atafute matajiri wale haswaa matajiri waliooa wanawake wabaya aje atupe feedback hapa ni matajiri wangapi waliooa wanawake wabaya au waliooa wanawake wazuri alafu hao wanawake wanawaletea nyodo then ndo tutajua tatizo ni wanawake wazuri au tatizo ni yeye [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1] mnafurahisha. Mtoa mada na wenzako poleni.
Sasa, mbona mtaani na kwenye maisha ya kawaida wanawake wazuri, tena wazuri haswa wana maisha yao safi kabisa? Wameolewa, wana watoto, na hawatumiwi na kuachwa? Mtu unajifariji na illusions zako?
Ukiona umeletewa nyodo na mdada mzuri jua wewe ni takataka na ulitaka akukubali hata kama upo hovyo?
Jipangee, tena haswa manake wanafoleni kubwa tu na hukidhi vigezo.