[emoji116][emoji116][emoji116]
Mdada wa kuoa, anatakiwa kuwa mshamba kiana......
Sio mdada anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,zarumendra...._
huna hata cha kumdanganya?...._
_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_
_Baby hivi ibracadabra unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._
_sio mdada anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi sedadu fc ya ugiriki......_
mdada ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._
_Sio mdada anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_
_Mi napenda mdada nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._
_Sio mdada anakutajia mpaka first eleven ya watford,mke gani huyo??
[emoji23][emoji23]
View attachment 1162924