Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

asha mushi

Member
Feb 23, 2017
33
29
*Demu anatakiwa kuwa mshamba kiana......*

_Sio demu anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,Michael Dadkof....huna hata cha kumdanganya?...._

_Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"_

_Baby hivi Hazard unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?"......._

_sio demu anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi Kasimpasa ya Uturuki......_

_Demu ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._

_inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa"....._

_Sio demu anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."_

_Mi napenda demu nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?".........._

_Sio demu anakutajia mpaka first eleven ya Burnley,demu gani huyo!!!??_
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom