Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Katiba haiwezi kubadilishwa ikiwa mhusika mmoja hayupo,ni lazima wadau wote wawepo ili mabadiliko ya Katiba yafanywe ,tunafahamu fika kuwa katiba iliyopo haifai kwa vigezo vingi tu kimoja ni hicho cha kutokuwemo mhusika mmoja.
Kwa maana hiyo ni lazima TANGANYIKA iwepo ili mabadiliko yafanyike ,kwa maana hiyo ni lazima uwepo wa serikali tatu,sanjari na mabadiliko hayo Zanzibar na Tanganyika kwa maana ya serikali ziwepo ili kuunda na kuikubali Katiba hiyo,nijuavyo Katiba iliyopo iliundwa kutokana na kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na Serikali ya Zanzibar ,sasa leo vipi Katiba hii itawezza kubadilishwa bila ya kuwepo kwa serikali ya Tanganyika ?
Ni bora ipendekezwe serikali ya mpito ya Tanganyika ili kuruhusu mabadiliko makubwa ya katiba ,naomba kuwasilisha hoja !!