Nyie mmemuelewa mama ?

Nyie mmemuelewa mama ?

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
557
Reaction score
1,544
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudia
 
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Kuna clip Moja ya baba wa taifa 🇹🇿 inaeleza....

HAKUNA KITU KINACHO LAUMIWA KAMA SERIKALI....
MTU AKISHINDWA KUMPELEKA MTOTO SHULE ATA ILAUMU...
MTU AKISHINDWA KUPATA MLO WA SIKU ATAILAUMU SERIKALI....

HAKUNA KITU KINA LAUMIWA KAMA SERIKALI...
 
Back
Top Bottom