Nyie mlionishauri nimpe

Nyie mlionishauri nimpe

Haya mje mnipe mbinu za kutumia nisipate mimbaa

Jamaa ataingia usiku sana tupo tunachart hapa nimemuuliza kuhusu sex kasema we lazima tufanye nikampa mashart ya kupima na kutumia kinga yaani kondomu kasema tutapima ila yeye hawezi kutumia condom maana mimi ni mpnz wake hawezi kufanya sex Kama anafanya na malaya

Sasa nyie mlionishauri nimpe mimi sijawah tumia uzazi wa mpango na naogopa maana nasikia zina madhara hapo baadae

Nikisema nitumie kalenda nitadanganya mzunguko wangu umevurugika ndani ya miez 6 mzunguko wangu unabadilikabadilika

Haya nipeni mbinu za kutumia za asili nisishike ujauzito
Toa tunu hiyo msela aisasambue mengine ni matokeo tu
 
yan inaonyesha ni jinsi gn hujielew hauna akil ww ni mwanamk usiekuw na misimamo yako yan nyie ndio mkija kuolewa kuliwa nje ya ndoa ni kawaida sana..KIFUPI HAUJIELEW
 
Back
Top Bottom