Nyie mlionishauri nimpe

Nyie mlionishauri nimpe

Haya mje mnipe mbinu za kutumia nisipate mimbaa

Jamaa ataingia usiku sana tupo tunachart hapa nimemuuliza kuhusu sex kasema we lazima tufanye nikampa mashart ya kupima na kutumia kinga yaani kondomu kasema tutapima ila yeye hawezi kutumia condom maana mimi ni mpnz wake hawezi kufanya sex Kama anafanya na malaya
Mbinu umeshaziandika
 
Tatizo hueleweki Kaka,thread iliyopita umesema hutaki sex before marriage nadhani

[emoji3][emoji3][emoji3] komenti nyingi zinataka nimpe kwaiyo najaribu kutafuta njia mbalimbali nitahitisha baadae
 
Back
Top Bottom