Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

Nyie madada mkoje? hamna hata chembe ya aibu?

wewe lol...

Kwenye hii mada umenifanya nihisi kuna tofauti ya kitabia kati ya wanawake(women) na mademu kwenye suala la dating.

Tuelezee kidogo basi, manake kuna wale hatujielewi tuko kundi gani la mademu au wanawake....lol
 
you are a woman...way a woman than most ..
 
you are a woman...way a woman than most ..

Will take that as a compliment, i still want to know the difference that exists between the two groups,i have a feeling the women group behaviors are boring.....lol
 
Will take that as a compliment, i still want to know the difference that exists between the two groups,i have a feeling the women group behaviors are boring.....lol

so unataka kuwa 'kademu' ka mizinga ili uwe more fun na exciting? lol
 
Kwani women hawana mapakashume? Ukoo mzima hahaha? Ama vile siku hizi mfuko unamudu hata mizinga ya dolari.
those days when i was young lol
madem, madem, madem....lol

bora siku hizi si deal na mademu ,na deal na women lol
 
Itabidi ujifunze mengi sasa ili uweze kuwa fun and exciting
tukupe tuition kabisa lol

Kama hakuna age limit then nitakubali kuwa kademu,ila sitaki kuwa kademu hata kama umri hauruhusu....ukiwa tayrai kuanza tuisheni nijulishe....!!😛layball:
 
Kwa mtindo wa kuwaita dada zetu mapakashume utatoka nduki kila kukicha
 
Shida ya kukutana na mipakashume ndo iyo, pakashume hukutana na pakashume mwenzie. Mwanaume anayejielewa atasema tu kwa ustaarabu kuwa sikutarajia zaidi ya wewe na bajeti yangu ya leo ni kiasi cha kututosha mimi na wewe.
Tatizo mna-panick sana wanaume msiojiamini,wakati mwingine wanawake wanakuja na mwenzao vile hawajui mwenzao anaenda onana na shuwaini gani na sio kwamba wanataka ofa za bure. Kwahiyo ni namna fulani ya kujilinda kwa mwanzo huo ambao hamfahamiani vizuri. Ukiona huwezi, sema na usikie mwenzio atasemaje,ukiona huyawezi nyanyuka na ondoka zako,hautakuwa mwisho wa maisha yako wala ya kwao.

umenena vyema.....

Tatizo la pakashume kudate pakashume......halafu anategemea miujiza......
 
Back
Top Bottom