Unapanga appointment na demu mkutane bar flani. Then unafika unampigia aje ushafika. Then anasema poa nakuja. Unamsubiri ila unaomba mungu aje peke yake kwa kuwa unahisi anaweza akaja na rafiki yake. Ghafla unaona mademu watatu wanaingia unaomba wasiwe hao. Ghafla moja anainua simu unahisi denja unaweka vibration. Ghafla simu yako inalia unagundua ndo mwenyewe kaja na mipakashume yenzake miwili. Shenzy taipu! Unazima simu then unanyanyuka taratibu unasepa kimyakimya.
HIvi mimi nilikuita hapa hii ni date. Date ni ya watu wawili tu kufahamiana. Unanletea mipakashume ukoo mzima nimekuambia kuna bethidei hapa? Shwaini...! Au unataka niwagegede wote?
Mbaya zaidi wakishakaa utakuta hao rafiki zake wanazuga kuagiza soda "ooh nletee fanta" then mwenyeji wao kimbelembele "aah acheni hizo.. shosti unakunywa soda tangu lini kunywa bia". Pambaff. Hivi wewe ndo unaelipa bili?
Hivi hamuangaliagi muvi za ulaya mkajifunza date zinakuwaje mbona mnajidhalilisha nyie madada?
Na ntawakimbia niwaachie bili au niwaachie notifeki mkajifunze segerea huko. Nyambafff...