Nyie kina mama nyie

Nyie kina mama nyie

manuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2009
Posts
4,064
Reaction score
10,745
Mwanamke ukipishana nae maneno kidogo tu we unadhan mambo yashaisha unarud job jioni mtu kafuta mdomo unajiuliza ni nini tena hapa na wanaume wengi tushawajua wake zetu siku hayuko vizur na siku yupo vizui unamlia timing unamuuliza wife kuna shida, unapewa tu la mkato.

Hamna ukijaribu kumfanyia utani kutaka kama kumshika unasikia ebu niache mi sijisikii vizuri aje tena na ushaniambia hamna shida. Hapo akili kumkichwa ni kutafuta wapi tu pa kwenda kupotezea mda urudi late hours ama ujikeep busy na watoto ujichekeshe na watoto huku unamsoma mood.

Na mbaya zaidi unaona kabisa jinsi yeye anavyomia na gubu lake maana unakuta unacheza na watoto mnaongea kitu anataka kucheka ila anajifanya uso wa mbuzi kukuonyesha tu hali leo tete. Balaa ipo mkiingia bed tena kipindi hiki cha baridi ushazooea zero distance ukijaribu kuweka mkono tu kumkumbatia mkono utarushwa usipokuwa makini unaweza vunjika.

Sasa unajiuliza ni nini. Unakuja kukumbuka asubuhi alitaka mle chai na kitafunwa chake cha viazi alivyochemsha wewe ukasema hapana viazi mimi nataka mkate. Basi yani atanuna hapo na haki ya ndoa utanyimwa na huduma zingine alizokuwa anakupatia zitasitishwa na ukiangalia nini kinampa kiburi.

Hivyo unakuja kuta ni ile ndoa mliofunga tu so inampa uhakika huwezi kumfanya chochote. Kweli siwezi kukufanya chochote lakini tunaishi kwenye ndoa mfu mpaka lini? Agrrrrrrrrrr. Nyie kina mama nyie dawa yenu inachemka.

 
Mkeo ana mapepo i guess
sasa hata viazi anune siku nzima?
 
Hivi kumbe ndivo uishivo na mkeo IPO shida mahali haiwezekani akususie unyumba aliambiwa wapi mume anasusiwa unyumba?? by the way pole
 
Hicho kiazi ni sababu tu, humkuni vizuri ndiyo tatizo lote lipo hapo. Chunguza.
 
Nimecheka hadi basi, hapo kwenye kurushwa mkono.
Ndiyo hivyo unashaanga umeachana na mtu mida usiku mzima kesho yake unamkuta katenguka mkono kupotezea anakuambia nimateleza bafun...wacha kabisa sometyms hadi unajikuta unamiss utoto.
 
Hicho kiazi ni sababu tu, humkuni vizuri ndiyo tatizo lote lipo hapo. Chunguza.
Utakua hunitendei haki kweli nashinda Gym toka saa 11 mpaka saa 2 usiku.....Siku nikipata fursa napanda masaa matatu nje ndani mwanzo mwisho...Hapana asee labda sekta ingine
 
Wee nae sema wewe mama wewe sio nyie kina mama kwani unao wangapi?? Mie sipo hivo usiniunganishe huko pulizi
 
hivi kumbe ndivo uishivo na mkeo IPO shida mahali haiwezekani akususie unyumba aliambiwa wapi mume anasusiwa unyumba?? by the way pole
@Madame S kamata like za kutosha nitafute jion walau upate supu ya kuku
 
Utakua hunitendei haki kweli nashinda Gym toka saa 11 mpaka saa 2 usiku.....Siku nikipata fursa napanda masaa matatu nje ndani mwanzo mwisho...Hapana asee labda sekta ingine

Swala hapa sio muda hapa ni maujuzi unaweza panda muda wote huo unamuumiza tu mwenzio we unajisifia inaweza kuwa 5minutes lakn baaabkubwa
 
Msamehe tu, tunapenda kudeka jamani, uwoni ukiwa unacheza na watoto anatamani kucheka ila anajikaza hajanuna anataka umbembeleze, ila apo zero distance ndio tunamalizaga tofauti zetu. Jamani asifanye ivyo mume hanyimwi raha.
manuu
 
Last edited by a moderator:
Wee nae sema wewe mama wewe sio nyie kina mama kwani unao wangapi?? Mie sipo
hivo usiniunganishe huko pulizi
Dena Amsi experince inaonyesha kina mama huwa na vitabia vya kufanana ila kama wewe haupo hivo...Ur lucky
 
Utakua hunitendei haki kweli nashinda Gym toka saa 11 mpaka saa 2 usiku.....Siku nikipata fursa napanda masaa matatu nje ndani mwanzo mwisho...Hapana asee labda sekta ingine

Si unaona, hapo si unamuumiza tu, nililokwambia zingatia, ajuae hakawii.
 
Wachemshie kiongozi...na hakikisha wanainywa wasije kukunywesha wewe!!
 
Wanawake wengi silaa yao ni kununa ndivyo wanavyojiaminisha. Dawa sio kumbembleza dawa ni kumpuuza na kumchana live kuwa jambo analolifanya ni la kipuuzi. Ndoa ni taasisi hivyo kila mtu ana wajibu wa kuweka wazi jambo linalomsumbua, kama anashindwa basi huyo atakuwa na ajenda yake ya siri.
 
Back
Top Bottom