Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,006
- 142,612
sasa katika vurugu hiyo
mtu mwingine anaweza sema
Sheria za mipango miji zijali dini za watu
mfano mtaa wenye msikiti isiwepo bar
au kama kanisa limetangulia....kusiwepo disco karibu
sasa ili uweze influence yote haya takwimu first...
Sasa mbona serikali hiyo hiyo inahesabu makanisa na misikiti?
Tatizo letu hatuna serikali, serikali inaenda kwa mapokeo kama dini. Kitu akisema Nyerere hakipingwi.
Mkapa kakataa kuweka picha yake kwenye noti kwa sababu anajiona mbaya hataki kutisha watu, Kikwete anayemfuatia ambaye hana sababu hiyo naye anaogopa kuweka picha yake kwenye noti, mwishowe noti zinabaki na wanyama tu, mpaka watu wanauliza kwani hii nchi haina rais zaidi ya hawa Nyerere Karume na Mwinyi?
Nyerere kasema mambo ambayo inawezekana yalikuwa sawa siku zake, nchi inabadilika kila siku, kuna haja ya kuyatafakari upya.
Sawa, takwimu waende huko kwenye majumba ya ibada watazipata.
Boss wewe dini gani kwani?
Mi nakumbuka mdingi alikuwaga ananipeleka pale kanisa la mtakatifu Petro kwenda kumuona Nyerere...lol. Enzi hizo ilikuwa bonge la dili kumshika mkono rais Nyerere....lol
Kwa msingi huu utajuaje kwamba watu wa Mkoa fulani hawatafanya hivyo hivyo ili ku boost population ya mkoa wao?
Okay, fine. But it shouldn't be mandatory as race is in some countries.
I mean, if I don't want to share what my religious beliefs (of lack thereof) are then I shouldn't be forced to.
It's none of anyone's business.
Upo sahihi lakini utambue "panapofuka moshi ujue kunamoto" jambo linaposhikiwa bango tena na watu wachache hata kufikia hatua watu wapo radhi kugome kushtakiwa kwa sababu madai yao hayajasikilizwa utambue kuna jambo lipo nyuma ya pazia wana maslahi nalo, ..Yatupasa kujua malengo ya hao watu kabla ya kufikia maamuzi!
Labda serikali haitaki kutoa data kwa sababu yenyewe ndio ina cha kuficha. Tumewaza hilo?
Once sensa ikija, kutakuwa na analysis zitakazoonyesha uhusiano wa dini na huduma za jamii kama elimu, afya, maendeleo, uchumi....
Labda, narudia labda, serikali haitaki ionekane kuwa imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi wake katika sehemu ambazo mashirika ya kidini hayajafika
Uamsho wakiingia unasema 'mtumee' ? lol
Kama kungekuwa na mpango wa Serikali kushughulikia matambiko ya watu, nalo lingekuwa ni swali la msingi!
Serikali yetu haina dini.
Kwa hiyo ikae mbali na mambo yahusuyo dini.
Mtumee,
Uamsho washaingia!
Extraordinary insinuations require extraordinary evidence.
Lawrence Summers alitolewa Harvard kwa ku insinuate -in an academic setting- kwamba "Labda hatuna wanawake wengi katika mathematics and science kwa sababu wanawake vichwa vyao haviwezi masomo haya, narudia labda"
Watu wakammwaga.
Hapa tuna explore possibilities ziwezekanazo
As long as serikali haitoi takwimu tutajuaje ukweli?
Huyo jamaa yako lazima wammalize kwa sababu alizungumzia hilo kwenye academic setting na yeye akiwa ni mmoja wa viongozi wakuu, sawa na serikali Ije iseme "labda Uamsho hampo wengi serikalini kwa sababu vichwa maji"
Lazima wammwage japo kwa albadiri
Uamsho wakiingia unasema 'mtumee' ? lol
Uamsho inatisha mpaka watu wanalia "Msalie Mtume" kwa mtume wasomuamini!
:]
Hivi serikali leo ikikataza watu kuendesha magari kwa sababu tu kuna watu fulani wataendesha vibaya magari na kusababisha ajali, utaona sawa hilo?
Sawa.
Hili limezidi dini, limefika kwenye habari za takwimu zitakazoathiri public policy kama nilivyoonyesha hapo juu.
It's not like serikali iulize kama mtu anaamini katika utatu mtakatifu au la. Hizi ni labels tu zinazosaidia kujua demographics as much as age and sex.
Nimeonyesha hilo hapo juu nilipoongea maswala haya yalivyojilink katikla research, na kutoa mfano wa reproductive health, ujenzi wa mahospitali na shule etc.