Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Haya maelezo yako ni ya uongo sana, eti kila Rais, hivi hizo barabara za lami zinazojengwa kila kona ya nchi hii kuna marais na huko? Mtwara iringa wanajenga uwanja mkubwa tu wa ndege, katavi wamejenga kwann chato ambayo ipo mkoa wa geita wasijenge? Utasema wangejenga geita, geita hamna eneo pale ni milima tu, labda wangejenga kuelekea Mwanza ndio unaweza pata eneo la kujenga uwanja wa ndege, sababu ndio utapata maeneo tambalale. Suala la katiba hilo nakuunga mkono , nyerere hapo alichemka.
wewe hujui chochote,uwanja gani unajengwa iringa na barabara zipi zinajengwa?Kama hujui Chato soon haitakuwa sehemu ya Geita bali makao makuu ya mkoa mpya basi something is wrong in your medula
 
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22
Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja
Ulikua na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.
Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.
Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa
Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala.
Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?
Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
Nyerere hakuwa na shida ila wanamara mlikalia majungu na kunywa gongo tu
1. Mkuu wa majeshi David Msuguri
2. Mwanasheria mkuu Joseph Sinde Warioba
3. Gavana wa Benki Charles Nyirabu
4. Katibu Mkuu ofisi ya Rais Timoth Apiyo
5. Katibu wa Rais Mzee Butiku
6. Mkurugenzi wa shirika la watalii Tanzania Esrom Maryogo
Hao ni baadhi ya viongozi Mwalimu aliwateua katika nafasi za juu na wote wanatoka Mkoa wa Mara
 
Kuna shida gani haya yakifanyika huko Chato? Au ulitaka yafanyike Marangu? Sielewi watanzania wanavyolalamika maendeleo chato, kama ni maendeleo chato nayo ina deserve maendeleo, sioni shida ya huo uwanja, sababu tayari utatumika strategically kama uwanja wa mkoa wa geita pia
Hivi geita to chato kilometa ngapi ?
 
Kwa sababu sioni hata sababu ya kupinga hayo maendeleo, mtu anaongelea traffic light , as if hajui traffic light zinatakiwa kuwepo kila sehemu kwenye watu wanapivuka, ni ushamba kufikili traffic light zinatakiwa kuwepo kwenye miji tu, kuhusu uwanja wa ndege , mkoa wa geita wote hauna uwanja wa ndege , pia pale kuna mbuga ya wanyama ya rubondo na hiyo bigiri obviously watalii watafika tu kwa kutumia huo uwanja.
Mbona gharama ni kubwa kuliko mahitaji yenyewe ya uwanja
 
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22
Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja
Ulikua na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.
Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.
Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa
Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala.
Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?
Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
Sidhani kama ulichokiandika ni kitu kizuri embu muache apumzike kwa amani.
 
Kwani ukiwa Rais unatakiwa uangalie Mkoa wako au Watanzania kwa Ujumla? Kwani Wewe ukiijali Mikoa mingine na siyo wako hao Marais wengine na Wao hawawezi Kuujali Mkoa wako? Nadhani utakuwa na Ududuna ( Upumbavu ) mwingi kwani laiti ungemsoma vyema Hayati Mwalimu Nyerere na hasa kuijua Falsafa yake ya Kimaisha wala usingekuja na huu Ududuna ( Upumbavu ) wako huu. Kama leo hii unashangaa kwanini Nyerere hakuusaidia Mkoa wake wa Mara Kimaendeleo mbona hushangai ni kwanini Nyerere huyo huyo ndiyo alikuwa Kinara wa Kuzitafutia Uhuru nchi nyingi Barani Afrika ambazo leo hii zimeizidi Tanzania kwa Maendeleo ikiwemo Afrika Kusini? Kuna Watu mna Itikadi za Kipuuzi sana hapa Jamvini na Nchini pia.
 
Kuna shida gani haya yakifanyika huko Chato? Au ulitaka yafanyike Marangu? Sielewi watanzania wanavyolalamika maendeleo chato, kama ni maendeleo chato nayo ina deserve maendeleo, sioni shida ya huo uwanja, sababu tayari utatumika strategically kama uwanja wa mkoa wa geita pia
Mkuu Manelezu, sisi waafrika akili za umasikini hazitutoki kirahisi tu. Wengine wanaosema kuwa JPM anajipendelea wanaiangalia Tanzania ya leo tu, hawajiulizi kuwa maisha yataendelea baada ya sisi kuwa tumeshafukiwa ardhini.
 
Huyu Baba wa Taifa kafanya makosa sana. Hivi kwa nini alitangaza serikali kuhamia Dodoma hapo zamani? Asingetangaza awamu hii tungekuwa na uamuzi makao makuu yawe wapi.
 
nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.

mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.

Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.

Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
Mbona unajishtukia!

Ova
 
Kuna shida gani haya yakifanyika huko Chato? Au ulitaka yafanyike Marangu? Sielewi watanzania wanavyolalamika maendeleo chato, kama ni maendeleo chato nayo ina deserve maendeleo, sioni shida ya huo uwanja, sababu tayari utatumika strategically kama uwanja wa mkoa wa geita pia
Maendeleo kwa ajili ya watu wachache

Ova
 
Kwani ukiwa Rais unatakiwa uangalie Mkoa wako au Watanzania kwa Ujumla? Kwani Wewe ukiijali Mikoa mingine na siyo wako hao Marais wengine na Wao hawawezi Kuujali Mkoa wako? Nadhani utakuwa na Ududuna ( Upumbavu ) mwingi kwani laiti ungemsoma vyema Hayati Mwalimu Nyerere na hasa kuijua Falsafa yake ya Kimaisha wala usingekuja na huu Ududuna ( Upumbavu ) wako huu. Kama leo hii unashangaa kwanini Nyerere hakuusaidia Mkoa wake wa Mara Kimaendeleo mbona hushangai ni kwanini Nyerere huyo huyo ndiyo alikuwa Kinara wa Kuzitafutia Uhuru nchi nyingi Barani Afrika ambazo leo hii zimeizidi Tanzania kwa Maendeleo ikiwemo Afrika Kusini? Kuna Watu mna Itikadi za Kipuuzi sana hapa Jamvini na Nchini pia.
wewe ndiye mjinga na mumbavu sababu unamshabikia mtu ambae anavunja kabisa misingi yetu ya utaifa kwa kuleta ubnafsi, upendeleo , na utengano Lkn hujawahi kukemea hata Mara moja na umekua bwana ndio.

You're a CERTIFIED Moron.
 
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22. Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja.

Ulikuwa na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.

Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.

Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa

Tayari anauwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa , na Majengo ya kisasa ya kiutawala

Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?

Ulisahau mchezo kwao utuzwa Hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?
Mungu akurehemu
Mwalimu alikuwa mzalendo wa kweli aliipenda sana Tanzania tutamukumbuka daima
 
Hivi hebu fikili Kama kila kiongozi anaeingia madarakani lazima avutie kwake itafika Wakati tutachinjana kwa kupigania uongozi ili nasi tupate. Uongozi utakua WA damu na jasho jambo ambalo ni hatari Sana kwa mstakabali wa nchi yetu
Ametoa mfano mbaya Sana kwa vizazi na uongozi unao kuja
Kama hutaeleweka kwa comment yako basi yatupasa miaka 40 ijayo kujua nani ni nani .
 
wewe hujui chochote,uwanja gani unajengwa iringa na barabara zipi zinajengwa?Kama hujui Chato soon haitakuwa sehemu ya Geita bali makao makuu ya mkoa mpya basi something is wrong in your medula
Basi ni vizuri kama unaenda kuwa mkoa, kama utakuwa mkoa hayo yote yataitajika, kila mkoa una deserve kuwa na kiwanja cha ndege
 
Haya maelezo yako ni ya uongo sana, eti kila Rais, hivi hizo barabara za lami zinazojengwa kila kona ya nchi hii kuna marais na huko? Mtwara iringa wanajenga uwanja mkubwa tu wa ndege, katavi wamejenga kwann chato ambayo ipo mkoa wa geita wasijenge? Utasema wangejenga geita, geita hamna eneo pale ni milima tu, labda wangejenga kuelekea Mwanza ndio unaweza pata eneo la kujenga uwanja wa ndege, sababu ndio utapata maeneo tambalale. Suala la katiba hilo nakuunga mkono , nyerere hapo alichemka.
Lakini pia pamoja na nyerere kufanya mengi mazuri,ila kuna machache ya mhimu pia alichemsha,hata barabara tu ya kutoka bunda kwenda butiama ni makorongo tu mpaka kwake,hivyohivyo ukitokea msoma pia njia ni hovyo,,mpaka walimpokea ndio waliamua kuweka lami barabara ya musoma %butiama
 
Back
Top Bottom