Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Mkuu hapa unataka kuongea nini? kwamba ujinga wa watanzania tulio wengi ndo misingi ya taifa letu au Tanzania ni mali ya nyerere na chama chake? By the way taifa ni nini na taifa la Tanzania lilianzishwa lini na nani?ujinga wetu na uendawazimu wa wachumia tumbo wa ccm usikufanye uone katiba si muhimu.Nchi nyingi zilizopiga hatua kimaendelea ni zile zilizowekeza kwenye katiba bora yenye institutions imara na independent za kuhakikisha inafuatwa ukilinganisha na shithole zinazotegemea fikra za watu.Hata home kwako kama hauna formula ya maisha na ukakubali kuifuata kwa dhati lazima ufe rofa
Wewe ni mwerevu sana , hivi unajilinganisha na Taifa lipi kwa mfano!
 
Acha ujinga wewe! wapinzani gani waliompinga Mwalimu kwenye hilo? Usiwaweke wapinzani wote kwenye kapu moja.

nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.

mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.

Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.

Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
 
Mwalimu alizingua kutuachia katiba ya ovyo isiyofaa.
 
hakuna kitu permanent katiba kwa wakati ule ilikuwa poa.. kwa nn usilie na hawa wanaogoma isifanyiwe amendment
 
Kwani wananchi wa chato hawastahili Huduma?mawazo mgando Hayo
Wewe unauwezo mdogo wa kufikiri
 
yote tisa,kumi kashindwa hata kuweka mazingira mazuri ya mkoa wa mara ukawa unapokea watalii wa mbuga ya serengeti,,,mbuga ipo musoma wanafaidi watu kilimanjaro na arusha,,
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22. Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja.

Ulikuwa na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.

Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.

Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa

Tayari ana uwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa na Majengo ya kisasa ya kiutawala

Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?

Ulisahau mchezo kwao hutuzwa hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?

Mungu akurehemu
 
Nadhani swala kubwa ni priority hapa,watanzania wengi wanaishi katika hali ya umasikini sana, mlo mmoja kwa siku.ukosefu wa maji safi na salama,ukosefu wa huduma bora za afya,kilimo duni na kadhalika,swali linakuja je kweli tunajitaji hayo? Kama watanzania tunaona sawa. Basi sio tatizo,tutavuna tunachopanda..
 
Mwalimu atakumbukwa daima kwa kutokuwa mlafi wala mbinafsi.
Mwalimu alijenga misingi ya kitaifa ambayoimewashinda marais wengi Afrika.

Mkuu hapa unarudi kule kule kwa kutegemea Utashi wa Mtu mmoja kuamua na sio Katiba (Mfumo) ,ameondoka Mwalimu ameingia mwingine na Matokeo ya walio kwisha kuingia Ikulu na huyu tulie nae sote tunayaona.Anaweza kuwa na hizo Sifa lakini kama angetuachia Mfumo Bora na Imara (Katiba) ningeona walau ametenda la maana.Hata yeye mwenyewe aliwahi kulisema hili la Katiba kumfanya Mtu mmoja kuwa na Mamlaka makubwa kupitiliza.
 
Naona kitu hutaki kuelewa ni process ya kufikia huko unakotaka kwenda.
Hata kipata uhuru ilikuwepo impetus ya watu binafsi.
 
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22. Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja.

Ulikuwa na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.

Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.

Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa

Tayari ana uwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa na Majengo ya kisasa ya kiutawala

Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?

Ulisahau mchezo kwao hutuzwa hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?

Mungu akurehemu
Ulichelewa wapi kumpaka Nyerere matope?
Usikosoe awamu hii ya tano kupitia kwa Baba wa Taifa.

Nyerere alikuwa Baba wa Taifa kwa kauli zake na matendo yake. Waliobahatika kuwa na watoyo wengi wanaelewa ninachosema.
 
wewe hujui chochote,uwanja gani unajengwa iringa na barabara zipi zinajengwa?Kama hujui Chato soon haitakuwa sehemu ya Geita bali makao makuu ya mkoa mpya basi something is wrong in your medula
Kwahivyo anapaandaa kijijini kwao kuwa makao makuu ya mkoa hence investment zote hizo zinazofanywa bila ya bajeti yake kuidhinishwa bungeni? To me this is a breaking news. Hivi kila rais atakayekuwa anaingia madarakani akiwa na mipango ya kugeuza kijijini kwao kuwa makao makuu ya mkoa tena kuwekeza 'kikora' bila ya bunge la bajeti kuidhinisha uwekezaji wake tutafika kweli? Hapa ndipo neno selfishness lina'fit.
 
Huu ni uongo sana sababu watanzania ni waongo sana, hivi maendeleo yanaenda chato tu? Miradi iliyopo chato haizidi hata 100bil sasa unataka kusema budget ya taifa hili imekuwa 100 bil kwa miaka hii 3 ya magufuli? Zaidi ya huo uwanja which I don't see any good reason to argue against it, kuna mradi gani mwingine unaona haustahili chato? National park? Barabara? Duh!
You don't see any good reason to argue kuhusu international airport kujengwa Chato, really? What have you been smoking lately? Or is it that you're just born dumb or something?
Kiuchumi that shit will end up as late Mabutu's wasted home town Airport, a total waste. Ni uwekezaji wa kipuuzi mwingi tu unaoendelea huko Chato, ni upumbavu kunenga airport kubwa pasina kuangalia faida yake kiuchumi, inakuwa ni tamaa na ubinafsi pia.
 
Ebu sema sehemu gani ya geita karibu na geita mjini inafaa kujenga uwanja wa ndege ? Sababu geita naifahamu sana
Kwahi jibu ni Chato sio? Mnadhani Watanzania wote ni wajinga?
 
Kwangu Mimi kama kiongozi hatoroshi pesa kwenda nje ya nchi hakuna shida.
Kama anajenga ndani ya nchi ajenge popote,iwe Chato au Kalenga kwetu ajenge tu.Uwekezaji huo utamnufaisha mtanzania yeyote mmoja mmoja na wote kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom