Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Nyerere sitakusamehe hata kidogo

Basi ni vizuri kama unaenda kuwa mkoa, kama utakuwa mkoa hayo yote yataitajika, kila mkoa una deserve kuwa na kiwanja cha ndege
pole sana,mikoa gani mingine ina international airport za kuweza kutua ndege kubwa Tanzania
 
MSINGI WA TAIFA UNAJENGWA NA KATIBA SIYO HISIA ZA MTU! NYERERE ALIONGOZA NCHI KWA HISIA ZAKE ZAIDI BADALA YA MIFUMO! NDIYO MAANA ALISHINDWA KUTENGENEZA KATIBA ITAKAYODHIBITI HISIA ILI ASIHUKUMIWE!!

Mwalimu atakumbukwa daima kwa kutokuwa mlafi wala mbinafsi.
Mwalimu alijenga misingi ya kitaifa ambayoimewashinda marais wengi Afrika.
 
Lakini pia pamoja na nyerere kufanya mengi mazuri,ila kuna machache ya mhimu pia alichemsha,hata barabara tu ya kutoka bunda kwenda butiama ni makorongo tu mpaka kwake,hivyohivyo ukitokea msoma pia njia ni hovyo,,mpaka walimpokea ndio waliamua kuweka lami barabara ya musoma %butiama
Sasa huu nao ulikuwa uzalendo?
 
nyie wapinzani hamna dogo hata kidogo, mtu kujenga kwao si lazima bali ni hiari tu. si mnampinga Rais Magufuli kwa anachofanya, iweje leo muone Nyerere hakuwa sahihi?.

mtu wa kumshukuru sana kwenye nchi hii ni Nyerere na tusijaribu kumchafua kwa kuipenda kwake Tanzania na watanzania.

Kama Nyerere angetaka leo nusu ya Dar-es salaam ingekuwa ya kwake na familia yake. kma angetaka kuinzia mkoa wa mara mpaka mwanza angejimilikisha 80% ya ardhi ya mikoa hiyo including mbuga za wanyama. hakufanya hao na alifanya kwa ajili ya watanzania wote.

Mwalimu Nyerere namtetea kwa kushindwa kujenga kwao kwa sababu inawezekana miaka hiyo hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo ikizingitakiwa population ilikuwa ni ndogo ya kuweka vitu hivyo. kwa sasa population ni kubwa na chato kuna mengi ya kuvutia uwekezaji na watalii hivyo lazima maendeleo ya vitu yawepo.
Lengo la uzi hata sio kumkandia Nyerere
 
wewe kwenu umefanya nini?Tuanzie kwako kwanza.
Maana unaweza kuta ni wale wale
 
MSINGI WA TAIFA UNAJENGWA NA KATIBA SIYO HISIA ZA MTU! NYERERE ALIONGOZA NCHI KWA HISIA ZAKE ZAIDI BADALA YA MIFUMO! NDIYO MAANA ALISHINDWA KUTENGENEZA KATIBA ITAKAYODHIBITI HISIA ILI ASIHUKUMIWE!!
Na uhuru ulipatikana kwa katiba ipi.
Tatizo ninyi kizazi cha sasa ni kufikiri kila kitu kinaenda katiba.
Hisia na uhamasishaji ndio msingi wa siasa zote, katiba ni matokeo.
 
Bwana tusidanganyane Kama kweli umeangalia kwa upana huo why not geita iwe chato?
Traffic light sawa hebu sema kweli kunamikoa mingapi tena mikubwa haina huduma hiyo Lkn Chato inayo?
Ona kituko makao makuu ya mkoa hayana huduma hiyo Lkn kajimbo ka chato kana huduma hiyo. Basi huduma hiyo ingeanza geita!
Uwanja wa ndege wa mwanza una umbali gani kutoka maeneo hayo uliyo yataja Hadi tuhitaji uwanja mwingine Mkubwa kiasi hicho?
1147884
 
Kuvutia kwake wapi kiongozi? Plan ya serikali kila mkoa uwe na kiwanja cha ndege, madini yote hayo worthy billions yanayotewa na mkoa wa geita kwanini wasiwe na uwanja wa ndege? Imagine Dar es Salaam imeendelea kwa kunyonya mikoa mingine, Mkoa wa mwanza hauna hata uwanja mzuri wa ndege , unajua mchango wa mkoa wa mwanza kwenye pato la taifa since independence?
Acha bana Kwan ni mkoa gan unaoongoza kwa pato la taifa miaka yote? Fikiria na mm nikiwa raisi nikapeleka maendeleo mkoani kwetu tu kwa kufosi namana hii, na Kila mtu akiingia apeleke maendeleo kwao tu pasipo na tija yeyote itakuaje, uraisi utageuka Vita , kwa aliyofanya hapaswi kuigwa hata kidogo
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Usilinganishe uombozi wa Bara la Afrika na uwanja wa ndege mkuu...kwa sauti ya Likwidi!
 
Uku ndo kunanifanya naona upinzani ni watoto fikra zao zipo chini ya maji kabisa
 
Bwana tusidanganyane Kama kweli umeangalia kwa upana huo why not geita iwe chato?
Traffic light sawa hebu sema kweli kunamikoa mingapi tena mikubwa haina huduma hiyo Lkn Chato inayo?
Ona kituko makao makuu ya mkoa hayana huduma hiyo Lkn kajimbo ka chato kana huduma hiyo. Basi huduma hiyo ingeanza geita!
Uwanja wa ndege wa mwanza una umbali gani kutoka maeneo hayo uliyo yataja Hadi tuhitaji uwanja mwingine Mkubwa kiasi hicho?
Kuna Mji unaitwa Gabolite nyumbani kwa Mobutu Sese seko wa Congo, pia kuna mji unaitwa Yamousokro, nyumbani kwa Felix Houphet Boigny wa Ivory Coast. Baada ya wao kuondoka madarakani, hivyo vijiji vilivyogeuzwa miji, vimebaki mahame na waste, yaani vinahukumu jinsi hao watu walivyotumia madaraka yao vibaya na kutumia raslimali za mataifa yao vibaya.

Hiyo miji imekuwa mahame na hukumu ya uongozi mbaya wa hao watu.

Vv
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Acha bana Kwan ni mkoa gan unaoongoza kwa pato la taifa miaka yote? Fikiria na mm nikiwa raisi nikapeleka maendeleo mkoani kwetu tu kwa kufosi namana hii, na Kila mtu akiingia apeleke maendeleo kwao tu pasipo na tija yeyote itakuaje, uraisi utageuka Vita , kwa aliyofanya hapaswi kuigwa hata kidogo
Huu ni uongo sana sababu watanzania ni waongo sana, hivi maendeleo yanaenda chato tu? Miradi iliyopo chato haizidi hata 100bil sasa unataka kusema budget ya taifa hili imekuwa 100 bil kwa miaka hii 3 ya magufuli? Zaidi ya huo uwanja which I don't see any good reason to argue against it, kuna mradi gani mwingine unaona haustahili chato? National park? Barabara? Duh!
 
Bora ulale njaa ila una amani moyoni.... Mwalimu ni mtu wa pekee kwa Upendo kwa watanzania wake...

.wengi wa hawa waliofuata ni unafiki kwa kwenda mbele.
 
Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22. Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja.

Ulikuwa na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika
Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini kabisa.

Hakuna uwanja wa ndege wa maana, Hakuna barabara za maana, Hakuna hospital yoyote ya maana, Hakuna huduma ya maji, umeme shida, shule zenyewe zinatosha, yaani nashindwa hata nisemeje.

Tazama mwenzako wa sasa ndani ya miaka Minne tu kijiji chake kilivyo badilika. Nasema kijiji wala sio mkoa

Tayari ana uwanja wa ndege wa kisasa, hotels kubwa kubwa za kufa mtu, mbuga yake ya wanyama tena ya kulazimisha inaendelea kutangazwa kwa nguvu, traffic light za maana hata Kama Hakuna Magari, umeme na maji ya kumwaga, hospital ya rufaa inajengwa, Benki zinafunguliwa kwa fujo duka kubwa LA dawa MSD, shule zinajengwa na Majengo ya kisasa ya kiutawala

Kwa haya yote kweli Nina haja gani ya kukusamehe wewe?

Ulisahau mchezo kwao hutuzwa hadi ukatuacha katika Hali hii dhaifu?

Mungu akurehemu
Si na wewe uwe rais ili ulete maendeleo kwenu?
Kuna mtu amekuzuia kuwa rais?Usimlalamikie mzee yule..alikuwa shujaa kuweza kuwa rais,siyo kazi rahisi
 
Back
Top Bottom