Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
watetezi wa Free market na Capitalism humu JF mara zote wanataka kutuaminisha kwamba mara tu baada ya uhuru kama nchi hii ingefuata kwa ukamilifu sera za kibepari basi leo tungekuwa tunatawala Afrika kiuchumi na kijamii. Lakini ukiwauliza kama ubepari ndiyo muarobaini wa matatizo ya kiuchumi duniani mbona huko ulikoanzia unaporomoka, wanabaki kulalama dhidi ya "unyerere"This is an excellent piece; i hope Mr. Right atakitumia vizuri kuelewa the benefits and limitations of free market in our context, a system which he favours so much bila chujio;