Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Unaposhindwa kubadilisha mapungufu uliyoyakuta kama kiongozi, na wewe ni failure, and not failure because of aliyekutangulia but failure of your own...; ndio maana hata nchi kama marekani, Obama aliingia madarakani kutokana na failure za bush, lakini leo hii anakufa na tai yake shingoni kwa kupigana yeye kama yeye, hata siku moja hausikii akitoa visingizio vya Rais aliyepita, na hatathubutu kufanya hayo kwani thats not being a leader; na akithubutu tu, game is over; kwani ataulizwa, ok, umeyakuta hayo, tukakuchagua, yamekushinda tumjaribu mwingine? Obama atapigiwa kura next year sio kwa sababu ya Bush bali kwa Sababu ya Obama; huu ni mfano kwa marekani lakini suala la leadership llina transcend kote;

Na hoja kwamba Nyerere ameacha muundo mbovu wa uongozi nadhani ni za hisia kuliko facts, kwani inakuwa kama vile hamsomi miongozo na misingi yake iliyowekwa, ambayo hata wapinzani kuna baadhi ya vitu wanavikodolea macho wavitumie; Ebu tuwekeeni hiyo miongozi mibovu ya uongozi aliyoyaweka Nyerere, ambayo inachochea system failure; naongelea miongozo, sio tabia za watawala wa CCM wakiwa madarakani;

Mimi nina uhakika kuna watu Tanzania watapiga kura uchaguzi 50 years from now - 2070 or so na kumchagua mgombea mwingine because of failure za Mwalimu, not kwa kumpima anayegombania nafasi husika kama anatosha au lah;

Bado mnaendelea kuandika in denial for the purpose of legitimizing ‘JKN' prowess's. Wengine hatuangalii who was ‘JKN' as an individual bali his mind set particularly on political grounds, kwa maana hiyo mtu aliyetupatia uhuru wetu angeitwa Hassan, James, Mazinde, Okonkwo or whatever aisadii tunapoangalia suala hili.

Hapa tunacho angalia ni matendo ya mtu huyo, and in-this instance it just happens the guy was named Julius K Nyerere (labda mfunge macho kidogo na nyie sasa msimuangalie mtu bali matendo yake kisiasa zaidi kuliko kizile namna zingine). That is to say my arguments have no relations with my emotions what so ever.

Nikirudi kwenye swala la makosa ya nyerere, ni siasa in general ndio amtaki kuziangalia nategemea wengi wetu humu ndani tunaelewa definition ya siasa lakini atutaki kuangalia challenges zake especially kwenye utekelezaji wa dhamana wananchi waliowaachia wanasiasa. Hapa ndipo linapokuja jibu lako la kuwa ubovu wa mwalimu ya kuwa ni hisia zangu na sio facts. Well let me establish those facts; kuna namna nyingi unaweza iangalia siasa as in: Powers held by the ruling government, effects of the government in social life and finally as the study of the state.

Pawili ndio JKN kafeli sana katika uongozi wake kwenye ‘the politics of power' and ‘social life' na hapa ndipo bado kuna ‘ripple effect' mpaka leo kutokana na maamuzi yake. Power kisiasa ni uwezo wa kufanya wengine waweze fanya vitu ambavyo otherwise they wouldn't have done on their own in return the subjects can not do the same to you. Na mbinu ambazo zinatumika zinaweza kuwa ujanja wa kuongea na uelewa au hata ubabe kwenye kulazimisha.

Kwa maana hiyo Nyerere kwenye siasa za power (authority) yeye haya mabavu aliyakita sana kwenye uongozi wake na kujiba almost absolute power legitimately (kupitia katiba) akiwa kama raisi wa kwanza na ndio hizi powers leo zimetumika na maraisi waliofuata na hata ndio nguvu ya chama tawala kutotaka kuleta katiba yenye usawa.

Kukakitisha mandishi isiwe kitabu powers leo zinafanya wapinzani wanyimwe maandamano, zinafanya polisi kuuwa wananchi on behalf of the state, kufukuza watu kwenye makazi yao kama loliondo na bila ya kupewa haki zao kikatiba na haki zao za kibin-adam kama katiba inavyosema. In short ni kama yeye alivyoweza kuwaita wapinzani wake kama akina Hanga kuwaweka hadharani na kuwa hutumu huko ni kuvunja misingi ya katiba kwakuwa anakuwa jaji, jury and a prosecutor.

Na ni sehemu nyingi za jamii hizi powers alizoziacha bado zinatuhathiri mpaka kwenye chaguzi zetu leo. Na maana ya separations of power kumekuwa amna, accountability na uozo mwingi unaoendelea leo chini ya katiba yake na staili yake ya kuweka jeshi, polisi na bunge lake yeye, since not much as changed since then in terms of governance except wahuni leo ndio wameshika nchi hivyo hizi ni by product zake. Ni sawa kumlaumu kichaa akisha mtandika mtu na rungu, lakini aliyemkabidhi rungu nae has to be blamed.

Tukija kwenye social life alishindwa ku-balance matumizi ya vipaji na ku-invest kwao na hizi ndio hathari za leo wengi either kuwa wame-lost au wamewahi kwenye siasa; kufupisha maandishi kwa sasa niishie hapa na hili.
 
Bado mnaendelea kuandika in denial for the purpose of legitimizing ‘JKN' prowess's. Wengine hatuangalii who was ‘JKN' as an individual bali his mind set particularly on political grounds, kwa maana hiyo mtu aliyetupatia uhuru wetu angeitwa Hassan, James, Mazinde, Okonkwo or whatever aisadii tunapoangalia suala hili.

Hapa tunacho angalia ni matendo ya mtu huyo, and in-this instance it just happens the guy was named Julius K Nyerere (labda mfunge macho kidogo na nyie sasa msimuangalie mtu bali matendo yake kisiasa zaidi kuliko kizile namna zingine). That is to say my arguments have no relations with my emotions what so ever.

Nikirudi kwenye swala la makosa ya nyerere, ni siasa in general ndio amtaki kuziangalia nategemea wengi wetu humu ndani tunaelewa definition ya siasa lakini atutaki kuangalia challenges zake especially kwenye utekelezaji wa dhamana wananchi waliowaachia wanasiasa. Hapa ndipo linapokuja jibu lako la kuwa ubovu wa mwalimu ya kuwa ni hisia zangu na sio facts. Well let me establish those facts; kuna namna nyingi unaweza iangalia siasa as in: Powers held by the ruling government, effects of the government in social life and finally as the study of the state.

Pawili ndio JKN kafeli sana katika uongozi wake kwenye ‘the politics of power' and ‘social life' na hapa ndipo bado kuna ‘ripple effect' mpaka leo kutokana na maamuzi yake. Power kisiasa ni uwezo wa kufanya wengine waweze fanya vitu ambavyo otherwise they wouldn't have done on their own in return the subjects can do the same to you. Na mbinu ambazo zinatumika zinaweza kuwa ujanja wa kuongea na uelewa au hata ubabe kwenye kulazimisha.

Kwa maana hiyo Nyerere kwenye siasa za power (authority) yeye haya mabavu aliyakita sana kwenye uongozi wake na kujiba almost absolute power legitimately (kupitia katiba) akiwa kama raisi wa kwanza na ndio hizi powers leo zimetumika na maraisi waliofuata na hata ndio nguvu ya chama tawala kutotaka kuleta katiba yenye usawa.

Kukakitisha mandishi isiwe kitabu powers leo zinafanya wapinzani wanyimwe maandamano, zinafanya polisi kuuwa wananchi on behalf of the state, kufukuza watu kwenye makazi yao kama loliondo na bila ya kupewa haki zao kikatiba na haki zao za kibin-adam kama katiba inavyosema. In short ni kama yeye alivyoweza kuwaita wapinzani wake kama akina Hanga kuwaweka hadharani na kuwa hutumu huko ni kuvunja misingi ya katiba kwakuwa anakuwa jaji, jury and a prosecutor.

Na ni sehemu nyingi za jamii hizi powers alizoziacha bado zinatuhathiri mpaka kwenye chaguzi zetu leo. Na maana ya separations of power kumekuwa amna, accountability na uozo mwingi unaoendelea leo chini ya katiba yake na staili yake ya kuweka jeshi, polisi na bunge lake yeye, since not much as changed since then in terms of governance except wahuni leo ndio wameshika nchi hivyo hizi ni by product zake. Ni sawa kumlaumu kichaa akisha mtandika mtu na rungu, lakini aliyemkabidhi rungu nae has to be blamed.

Tukija kwenye social life alishindwa ku-balance matumizi ya vipaji na ku-invest kwao na hizi ndio hathari za leo wengi either kuwa wame-lost au wamewahi kwenye siasa; kufupisha maandishi kwa sasa niishie hapa na hili.
Mkuu wangu hapa sintokukubalia kabisa kwa maana umeshindwa kutazama deep into their heart hawa watu walioshika hatamu leo. haiwezekani mtu akifanya tofauti na Mwalimu alivyotaka basi unachukua nguvu ile kuwa sababu wakati sisi ndio tumefanya mageuzi haya kupingana na vigezo alivyoviweka..

Nyerere alichukua UDIKTETA kwa malengo ya kuhakikisha sisi sote tunaokolewa kwanza, mali zetu zinahifadhiwa hadi tutakapo kuwa tayari kuzitumia, misaada akaiweka ktk sehemu zinazohitajika akiwa na vision kwamba lazima tutoke kwanza ktk Ujinga, Umaskini na Maradhi..na hakukoma hapo hata siku anajiuzuru alipoona tunaacha kutazama vitu hivi alituasa vizuri kuhusiana na msimamo tuliochukua.

Pili, Ni Nyerere aliyetoa hoja ya kuwa na vyama vingi kutokana na kwamba kama hamtaki Ujamaa basi solution lazima iwe vyama vingi na alionyesha wazi kukosa imani na matumizi ya power ya viongozi wa CCM kwa sababu waliacha kabisa kuokoa watu ktk Ujinga, maradhi na Umaskini kwa kutegemea kwamba tunaweza kujiokoa wenyewe. Na kama unakumbuka Mwinyi alimtumia watu Butiama kuhusiana na kuundwa kwa vyama vingi akafuikia kusema CCM sio mama yangu naweza kabisa kuwapeni hiyo kadi yenu namba moja ikiwa hamtaki vyama vingi na mifano ipo mingi tu..

Na aliendelea kuonyesha kutokubaliana na CCM na hata kusema mpinzani atatoka CCM, pengine alikuwa na imani sana na Edwin Mtei kiasi kwamba alikisifia Chadema waziwazi chama hiki kuliko vinginevyo. Ilikuwa hint kwetu lakini tulikuwa kizani maana yeye mwanaCCM hawezi kusema wazi wananchi chagueni Chadema..--- Hata hivyo, Ahadi imetimia...

Tatizo ni kwamba viongozi wetu walisubiri wakati huu. Na walijenga mazingira wenyewe ya kuhakikisha CCM inatawala kwa nguvu zote kiasi kwamba wakazua Azimio la Zanzibar na mwalimu akahojiwa tena mwaka 1995 akasema tunachokifanya sasa hivi ni kugawana Umaskini..Taifa langu maskini hawawezi kutegemea soko huria nani atawalinda watu wangu maskini?..something like that. CCM ya leo imeondoka kabisa ktk kufikiria kuondokana na Ujinga, Umaskini na maradhi na kikubwa zaidi kutowalenga majority ya wananchi ambao ni WAKULIMA na WAFANYAKAZI... leo hii nani anawazungumzia watu hawa?... hakuna tunazungumzia uzalishaji wa kilimo kwanza as an open market kwa yeyote mwenye uwezo ambao sisi wananchi hatuna na kama wapo ni wezi...

Halafu swala la social life, sielewi una maana gani maana umefupisha lakini hakuna jema tulolifanya mkuu wangu Ujinga, Umaskini bado unatawala na ndio maana hata ktk free market economy tumeshindwa kuwekeza.

Wafanya biashara wetu hawa wa free market economy wote wanaenda China na Dubai kutafuta finished product tena zilizo Fake kwa sababu wananchi wake bado ni WAJINGA na hawajui quality hawana standards na hawana uwezo ni MASKINI unaweza kuwauzia hata dawa fake kwa sababu madawa hatuna na MARADHI ndio kuna market kubwa Tanzania kuliko vitu vyote..Unaweza kuwadanganya wananchi na kikombe cha babu na wakaja kwa mamillioni haya yote yanatuonyesha jinsi Ujinga, umaskini na maradhi vilivyotawala nchi nzima. Education vyeti fake leo lugha ya kiingereza ndio inalipa fedha zaidi ya academic, utajiri ni ufisadi na mradhi waganga wa kienyeji na wa majini ndio wamezidi kuliko wakati wowote ule..
All these are FACTS situngi jambo...

Kwa hiyo tunaingia Ubepari na free market economy with nothing na kilichobakia ndio maduka ya vitu feki hakuna mtu alokuwa na mtaji wa kutengeneza hata Yeboyebo, Bodaboda au hata Bajaj na hawa wanaoenda China ni sehemu ndogo sana ya population wengi wetu bado wako juu ya mapaa wanasubiri kuokolewa lakini focus ya government in general haipo kwa wananchi - Wakulima na Wafanyakazi, isipokuwa wasiokuwepo ama wageni wawekezaji how confo tunaweza kuwaweka na sisi tutapumzike Serengeti..Unafikri kweli tutafika tuendako?...
 
Huwezi kusifia utawala wa Nyerere wakati vitu vidogo vidogo vya matumizi ya binadamu vilikuwa hakuna..

Wakati wa Nyerere watu tulikosa sabauni za kuongea na kufuria, dawa za meno, vyakula vibovu binadamu wanapewa..

Maduka ya ushirika unapangiwa vitu vya kununua unapewa maharage mabovu pamoja na magadi kwa ajili ya kuivisha wakati unayapika..

Unalazimishwa ununue vitu ambavyo utaki, lazima ununue panga, tube za baiskeli, sigara aina mbili Zakuchuja na Zaraha, mkuki, jembe, spoku za baiskeli za Swala..

Watu wanakwenda shule bila viatu, ukitaka radio mpaka ukanunue RTC..

Ukikutwa na dola 50 utajuta ukiweka akiba ndani ya chakula unaitwa muhujumu uchumi...ukitaka kupiga simu mpaka uende posta upange foleni..

Tumekula chakula cha farasi wa Texas, mahindi ya njano..

Watu walikuwa wanatembea nguo zimetoboka kwenye makalio, viraka kila sehemu..

Ngoja kwanza niishie apa kwanza...
 
Mkuu wangu hapa sintokukubalia kabisa kwa maana umeshindwa kutazama deep into their heart hawa watu walioshika hatamu leo. haiwezekani mtu akifanya tofauti na Mwalimu alivyotaka basi unachukua nguvu ile kuwa sababu wakati sisi ndio tumefanya mageuzi haya kupingana na vigezo alivyoviweka..

Nyerere alichukua UDIKTETA kwa malengo ya kuhakikisha sisi sote tunaokolewa kwanza, mali zetu zinahifadhiwa hadi tutakapo kuwa tayari kuzitumia, misaada akaiweka ktk sehemu zinazohitajika akiwa na vision kwamba lazima tutoke kwanza ktk Ujinga, Umaskini na Maradhi..na hakukoma hapo hata siku anajiuzuru alipoona tunaacha kutazama vitu hivi alituasa vizuri kuhusiana na msimamo tuliochukua.

Pili, Ni Nyerere aliyetoa hoja ya kuwa na vyama vingi kutokana na kwamba kama hamtaki Ujamaa basi solution lazima iwe vyama vingi na alionyesha wazi kukosa imani na matumizi ya power ya viongozi wa CCM kwa sababu waliacha kabisa kuokoa watu ktk Ujinga, maradhi na Umaskini kwa kutegemea kwamba tunaweza kujiokoa wenyewe. Na kama unakumbuka Mwinyi alimtumia watu Butiama kuhusiana na kuundwa kwa vyama vingi akafuikia kusema CCM sio mama yangu naweza kabisa kuwapeni hiyo kadi yenu namba moja ikiwa hamtaki vyama vingi na mifano ipo mingi tu..

Na aliendelea kuonyesha kutokubaliana na CCM na hata kusema mpinzani atatoka CCM, pengine alikuwa na imani sana na Edwin Mtei kiasi kwamba alikisifia Chadema waziwazi chama hiki kuliko vinginevyo. Ilikuwa hint kwetu lakini tulikuwa kizani maana yeye mwanaCCM hawezi kusema wazi wananchi chagueni Chadema..--- Hata hivyo, Ahadi imetimia...

Tatizo ni kwamba viongozi wetu walisubiri wakati huu. Na walijenga mazingira wenyewe ya kuhakikisha CCM inatawala kwa nguvu zote kiasi kwamba wakazua Azimio la Zanzibar na mwalimu akahojiwa tena mwaka 1995 akasema tunachokifanya sasa hivi ni kugawana Umaskini..Taifa langu maskini hawawezi kutegemea soko huria nani atawalinda watu wangu maskini?..something like that. CCM ya leo imeondoka kabisa ktk kufikiria kuondokana na Ujinga, Umaskini na maradhi na kikubwa zaidi kuwalenga wajority ya wananchi ambao ni WAKULIMA na WAFANYAKAZI... leo hii nani anawazungumzia watu hawa?... hakuna tunazungumzia uzalishaji wa kilimo kwanza as an open market kwa yeyote mwenye uwezo ambao sisi wananchi hatuna na kama wapo ni wezi...

Halafu swala la social life, sielewi una maana gani maana umefupisha lakini hakuna jema tulolifanya mkuu wangu Ujinga, Umaskini bado unatawala na ndio maana hata ktk free market economy tumeshindwa kuwekeza.

Wafanya biashara wetu hawa wa free market economy wote wanaenda China na Dubai kutafuta finished product tena zilizo Fake kwa sababu wananchi wake bado ni WAJINGA na hawajui quality hawana standards na hawana uwezo ni MASKINI unaweza kuwauzia hata dawa fake kwa sababu madawa hatuna na MARADHI ndio kuna market kubwa Tanzania kuliko vitu vyote..Unaweza kuwadanganya wananchi na kikombe cha babu na wakaja kwa mamillioni haya yote yanatuonyesha jinsi Ujinga, umaskini na maradhi vilivyotawala nchi nzima. Education vyeti, utajiri ni ufisadi na mradhi wagnga wa kienyeji ndioi wamezidi kuliko wakati wowote ule..

Kwa hiyo tunaingia Ubepari na free market economy with nothing na kilichobakia ndio maduka ya vitu feki hakuna mtu alokuja na mtaji wa kutegemezeza hata Yeboyebo, Bodaboda au hata Bajaj na hawa ni sehemu ndogo sana ya poppulation wengi wetu bado wako juu ya mapaa wanasubiri kuokolewa lakini focus ya government in general haipo kwa wananchi wakulima na wafanyakazi isipokuwa wageni wawekezaji how confo tunaweza kuwaweka na sisi tutapumzike Serengeti..Unafikri kweli tutafika tuendako?...
Ni kama ule msemo wa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Ntakupa mafano mmoja wa wazungu wengi ambao wapo middle class families na kwengine kwingi ulimwenguni ambapo kuna watu wa daraja hili na kusiko ubadhirifu uliokubuhu.

Hili daraja ni la wasomi na waelevu wengi wanaotambua huwezo wao wa kuangalia familia ni kutokana na kipato chao ambapo wengi ni wasomi. Hawa watu wanaouwezo wakiamua watoto zao wasifanye kazi mpaka wanapomaliza shule na kudekeza watoto. Lakini wameshajua hiyo pekee ni kumua ribu mtoto, hivyo from day one ni wajibu wa mzazi kuhakikisha mtoto anelewa the value of money afanye hata kikazi cha kutembeza magazeti aweze jinunulia hata ka ticket ka cimema. Na wao (wazazi) ni ku-concentrate kuhakikisha anapata the right skills in life hili aongeze possibilities ktk life chances zake na yeye awe future middle class.

Sasa sisemi kwamba maamuzi ya mwinyi ndio yalikuwa ya nyerere je mlm, aliwafundisha sawa hawa watu kuhusu taifa lao. aliiwambia kwanini alitunza mali, aliwaambia kwanini ilikuwa muhimu kujiwekea yeye madaraka, aliwafundisha uwajibikaji. Maana hata huyo mfanyabiashara hawezi mwachia biashara yake aliyoitolea jasho kuijenga mtoto anaevuta bangi unless ajali huko mbele. Nyerere alikuwa na watoto wangapi kisiasa wa kuwaachia madaraka, waliomuelewa na kuweza kuja na mbinui sahihi hata kama ni ku-adapt capitalism in the future.

Hii inaonesha hakuwa makini na pengine akujali what follows after his departure or just he wasnt a good politician as we are made to believe na katuangusha sisi wajukuu zake leo.
 
Huwezi kusifia utawala wa Nyerere wakati vitu vidogo vidogo vya matumizi ya binadamu vilikuwa hakuna..

Wakati wa Nyerere watu tulikosa sabauni za kuongea na kufuria, dawa za meno, vyakula vibovu binadamu wanapewa..

Maduka ya ushirika unapangiwa vitu vya kununua unapewa maharage mabovu pamoja na magadi kwa ajili ya kuivisha wakati unayapika..

Unalazimishwa ununue vitu ambavyo utaki, lazima ununue panga, tube za baiskeli, sigara aina mbili Zakuchuja na Zaraha, mkuki, jembe, spoku za baiskeli za Swala..

Watu wanakwenda shule bila viatu, ukitaka radio mpaka ukanunue RTC..

Ukikutwa na dola 50 utajuta ukiweka akiba ndani ya chakula unaitwa muhujumu uchumi...ukitaka kupiga simu mpaka uende posta upange foleni..

Tumekula chakula cha farasi wa Texas, mahindi ya njano..

Watu walikuwa wanatembea nguo zimetoboka kwenye makalio, viraka kila sehemu..

Ngoja kwanza niishie apa kwanza...
Kwa mwenye kuelewa aligundua kwamba kumbe tulikuwa tukitegemnea Kenya kwa kila kitu.. hatukuwa na chetu kabisa...na ndio maana Nyerere alianzisha viwanda vyetu wenyewe, tukawa na sabuni za Gardenia, General Tire, Tanbond, dawa ya mswaki ikiitwa - Tara na kadhalika..Tatizo bado hatukuwa na wenye uwezo zaidi lakini taratibu tungeendelea kujenga viwanda vyetu pasipo kutegemea mali za nje, leo hii tungekuwa mbali. Ulimbukeni wetu mkuu wangu ndio unatuponza sana kufikiria mambo madogo madogo ambayo hayakutoi roho..

Mkuu wangu, wakati wa Ukoloni sisi wengine.. Wazee wetu walitulisha chai na kiporo cha viazi vya jana, Ugali kwa maharage na mihogo, tukioga bila sababu ziwani na bahati wali na nyama haikuwa tatizo sana kwa sababu tulikuwa tukilima mpunga na wafugaji lakini hapakuwa na mazuri yoyote ya kujisfia leo maana elimu yetu ilikuwa ya shida tukienda shule kwa miguu... Lakini waliweza wakajenga nyumba zao ambazo ni makazi yetu leo na zina thamani kubwa sana...Siwezi kuwalaumu hata kidogo itakuwa kufur na kutokuwa na shukurani na wala siwezi kusema maisha ya mkoloni ama kufikia 1967 yalikuwa bora zaidi ya miaka ya Nyerere... huu ni uongo uliopangwa.. Anayesema hivi hakuwepo ama alikuwa mtoto mdogo sana kasimuliwa na wanaomchukia Nyerere.

Na hata hivyo jamani mbona tulikuwa tukienda Whimpy, tulikuwa na snowcream na Bakhresa kwa walaji Icecream, madisco kila kona na wala sikumbuki kutooga ama kula japokuwa ilikuwa kwa mstari.. sii tupo hai leo au mnapima raha tupu kama mtoto aliyezaliwa!
 
ukijua ukweli huu utakuweka huru.......ccm ni wakolini ti this day, na wanatumia unyerereism kutawala

Weberoya hawa wa sasa hawatumii unyereresim hata 15%. Wanajificha tuu chini ya kivuli chake kukwepa na kuficha udhaifu wao na underperformnce yao.
  • Nyerere hakuwa mbinafsi- Hawa wa sasa wameshajiuzia nyumba, linganisha mbunge wa kipindi cha nyerere na sasa. Siasa sasa hivi ni ajira inayolipa zaidi uliko taaluma nyingine kuliko wakati wa nyerere.
  • Nyerere hakua foreman au middle manager. Nyerere alikuwa strategic .Aifanya mamuzi ya kuzingatia 15-20 years. Hawa wa sasa uongzoi wao ni wa u-foremen. wanaangalia miaka miwili u mitano tu ii wapegiwe makofi in short term
  • Nyerere inawezekana hakuacha BOT $$$ za kutosha lakini aliacha Gold reserve. Waliofuata sababu uongozi wao ni kujali ya leo na kesho tu namatumizi, wao Gold reserve haikuwa na maaana na kusukumwa tu kidogo na IMF wakauza dhahabu.
 
Bado mnaendelea kuandika in denial for the purpose of legitimizing ‘JKN' prowess's. Wengine hatuangalii who was ‘JKN' as an individual bali his mind set particularly on political grounds, kwa maana hiyo mtu aliyetupatia uhuru wetu angeitwa Hassan, James, Mazinde, Okonkwo or whatever aisadii tunapoangalia suala hili.

Pengine tunaongea lugha moja, bali lafudhi tofauti;
 
Fahari said:
Sasa Mr right

Ebu kwa mujibu wa uchambuzi wako l ist ya marais tulioongozwa nao ( Nyerere, mwinyi, Mkapa, Kikwete) wapange kulingana na ubovu wao. Yaani yule mbovu kabisa awe wa kwanza na yule mwenye nafuu awe wa mwisho

Mchambuzi said:
Sitashangaa kama atajibu kwamba nyereer aliweka misingi mibovu ya uongozi........

Ngoja tusubiri atupe analysis yake. kama ni msingi mbovu wa Nyerere tayari kuna azmio la zanzibar ambalo sio msingi wa nyerere. Yes nyerere kama kiongzi hakuwa right lakini kwa kiais ikubwa kwa mazingira ya waki ule VISION yake ilikuwa sahihi.

Lakini mtu akitaka kupima mazuri na mabaya ya utawala wa nyerere huku akili yake iko mwaka 1990 hawezi umtendea haki. Swali ambalo tutamuuliza. Kama ungekuwa nyerere mwaka 1960's-1970's ungefanya nini cha tofauti. kwenye elimu, afya, viwanda, kilimo
 
Mkuu,
Unaweza kufafanua CCM ya leo inatumia vipi unyenyerism kutawala bearing in mind if there is such thing as unyenyerism, hakuna kilicho kikubwa nje ya muungano na Azimio la arusha? Pia naomba majibu ya swali langu kwako kuhusu Ujamaa na Zanzibar, direct relationship kama ipo, ni ipi;

Nyerere alipenda uchifu, kunyenyekewa, alipenda kuweka utiisho kwa wengine wote...as a result leader is not leading but is the author of excersing authority...Nyerere alikuwa hivyo na halina ubishi. Kumbuka damu ya uchifu ya Nyerere hakuweza kuikwepa.....

Viongozi wa CCM leo wameweka ule uchifu mbele, ving'ora na kunyenyekewa achilia mbali kuwakosa waziwazi ni dhambi! misingi iliwekwa!
 
Mtu anayelamu sera strategic za yerere ni yule anayetazama mambo simple simple. Ni mtu labda Aliyekulia magorofani. Na hajui maisha ya jamii mbali mbli shemu mbali mbali na hata vijijini. Mtu anayeoona kwa nini familia yake ilicheleweshwa kununua TV au kwa nini ilikuwa kazi kupata colgate ya kenya. Ni mtu ambaye akiwa kingozi atafanya maaamuzi kuleta faida leo na kesho kwa expense ya kubebehsa mzigo taifa mzigo mkubwa miaka sita baadae . Ilimradi atakuwa hayupo

Laiti kama wangelielewa hili......; very well put;
 
Nyerere alipenda uchifu, kunyenyekewa, alipenda kuweka utiisho kwa wengine wote...as a result leader is not leading but is the author of excersing authority...Nyerere alikuwa hivyo na halina ubishi. Kumbuka damu ya uchifu ya Nyerere hakuweza kuikwepa.....

Viongozi wa CCM leo wameweka ule uchifu mbele, ving'ora na kunyenyekewa achilia mbali kuwakosa waziwazi ni dhambi! misingi iliwekwa!
Webs
Kama nyerere alipenda uchifu asingefuta tawala za kichifu sababu na yeye alikuwa mmoja wao. Ina maana hata ukoo wake ungekuwa kundi la class A citzen hadi leo.

Kuhusu Authority nadhani mna muhukumu nyerere bila kuzingatia mazingira ya wakati anachukua ungozi. Sio mara zote leadership itaa achive sucess bila enforncement ya Authority. Sometime Katika leadeshipr tena hasa wa kipiindi cha nyerere some sort of dictatorship ilitakiwa au inatakiwa.

Ndio maana unaona Kikwete anacheka hata na mafisadi. Akiulizwa anasema sheria. Anamshati mramba baadae anakwenda kumpigia kmpeni jimboni. Mkapa naye alitumia authority yake kuzima kabisa hoja za ufisadi. Sasa nani wa kusiifwa kati ya mkapa na Kikwete???? Mimi naona inategema dhamira na hiyo authority yako unaitumia kwa manufaa ya nani. Nchi au baadhi ya watu.

Leader yeyote lazima Aonyeshe ana lead from front . Na kwa kipindi cha nyerere nchi ilihitaji leadership ya stye hiyo. Msipime Nyerere kwa kuangalia mwaka 1990. If nyerere was Kiwete may be Kagera ingekwa Uganda, Malawi nao ziwa nyasa lingekuwa lao Lote.
So tunapomuanalyse mtu tufanye analyssi kwenye vaccum . Tuangalie mazingira , nyakati na aina ya resources , support na watu tulokuwa nao wakati huo.

Hivi tunajua pamoja na mabaya ya hittler kwa dunia na utu Germany as anation is germany Today sbabau ya hittler. kabla ya hiitler germany ilikuwa ni nchi kama kina hungary tu . France na UK zilikuwa way far beyond. Hiitler ana mchango waekuifanya Germanyiwe kundi moja au zaidi kuliko France na UK. Unaona hapo leadership ilivyo ya ajabu.
 
Nyerere alipenda uchifu, kunyenyekewa, alipenda kuweka utiisho kwa wengine wote...as a result leader is not leading but is the author of excersing authority...Nyerere alikuwa hivyo na halina ubishi. Kumbuka damu ya uchifu ya Nyerere hakuweza kuikwepa.....

Viongozi wa CCM leo wameweka ule uchifu mbele, ving'ora na kunyenyekewa achilia mbali kuwakosa waziwazi ni dhambi! misingi iliwekwa!

Mbona wakati wa nyerere viongozi hawakuwa hivyo? mbona watu wenye hulka ambayo unaona ni bora kiuongozi, mbona wapo wengi tu kwenye jamii, wengine wakiwa ni zao la Mwalimu, wakithubutu tu kutafuta nafasi za kuongoza, wanapigwa vita kama ukoma?

Kuhusu Nyerere na uchifu, mimi napingana na hilo; Nyerere earned both, his authority, respect, and loyalty, because aliongoza kwa mfano ambao uliwaacha wananchi wakiduwaa kwamba utekelezaji wa ahadi za uhuru kwamba hakuna atakayekuwa muhimu kuliko mwenzako, ahadi hiyo ilikuwa inapitiliza; uongozi ambao haujawa replicated popote Afrika- Rais aliyekuwa na msafara wa magari matatu tu ambao hauleti hata usumbufu kwenye traffic lights, unashtukia rais anapita ukiwa pale maeneo ya karibu; rais anayesema anapaogopa ikulu kwani pale ni patakatifu, na kuamua kuchukua mkopo NBC kujenga nyumba Msasani, nyumba ambayo ilimshinda, akaiuzia serikali, only kuja kupewa miaka ya baada alipostaafu; Rais ambae watoto wake walikuwa wanafanana na watoto wengine mitaani; Rais ambae aliishi kwa taabu taabu miaka ya mwanzo ya ustaafu wake kwani alikuwa fukara tu na wala hakuwa anapata matunzo ya kifalme, na hali kubadilika pale tu alipopata nafasi ya south commission, ambayo ilimchukua muda sana kuikubali, na baadae ya MNF; mifano ni mingi, na haifananii hata kidogo na hoja yako kwamba ameambukiza viongozi wa sasa;

Una hoja juu ya tabia ya viongozi wa sasa, lakini ni muhimu uelewe kwamba hao ni zao la Azimio La Zanzibar (1992) - ubwanyenye, utajiri, ufahari, ufisadi, ubinafsi, etc; hawa sio zao la Azimio La Arusha la uadilifu, kutambua cheo ni dhamana, na kuweka maslahi ya taifa mbele - wa zao hili ni kina Salim, Kitine, kaduma, the list goes on.....
 
Sasa tabia hii wameipata wapi? wakati unasema Nyerere ni baba yao? au ubaba wa Nyerere uko kwenye jina la Tanzania na hauko katika raia wa Tanzania na katika hao raia wa Tanzania...viongozi sio watoto wa Nyerere...au ubaba hapa unalenga kwenye kuzaa tu na sio kulea??
 
Ni kama ule msemo wa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Ntakupa mafano mmoja wa wazungu wengi ambao wapo middle class families na kwengine kwingi ulimwenguni ambapo kuna watu wa daraja hili na kusiko ubadhirifu uliokubuhu.

Hili daraja ni la wasomi na waelevu wengi wanaotambua huwezo wao wa kuangalia familia ni kutokana na kipato chao ambapo wengi ni wasomi. Hawa watu wanaouwezo wakiamua watoto zao wasifanye kazi mpaka wanapomaliza shule na kudekeza watoto. Lakini wameshajua hiyo pekee ni kumua ribu mtoto, hivyo from day one ni wajibu wa mzazi kuhakikisha mtoto anelewa the value of money afanye hata kikazi cha kutembeza magazeti aweze jinunulia hata ka ticket ka cimema. Na wao (wazazi) ni ku-concentrate kuhakikisha anapata the right skills in life hili aongeze possibilities ktk life chances zake na yeye awe future middle class.

Sasa sisemi kwamba maamuzi ya mwinyi ndio yalikuwa ya nyerere je mlm, aliwafundisha sawa hawa watu kuhusu taifa lao. aliiwambia kwanini alitunza mali, aliwaambia kwanini ilikuwa muhimu kujiwekea yeye madaraka, aliwafundisha uwajibikaji. Maana hata huyo mfanyabiashara hawezi mwachia biashara yake aliyoitolea jasho kuijenga mtoto anaevuta bangi unless ajali huko mbele. Nyerere alikuwa na watoto wangapi kisiasa wa kuwaachia madaraka, waliomuelewa na kuweza kuja na mbinui sahihi hata kama ni ku-adapt capitalism in the future.

Hii inaonesha hakuwa makini na pengine akujali what follows after his departure or just he wasnt a good politician as we are made to believe na katuangusha sisi wajukuu zake leo.
Nakubaliana kabisa na dhana ya mtoto ulmelavyo ndivyo akuavyo na pia mfano wako wa wazungu. Ila kumbuka kwamba wao wana uwezo hivyo fikra zao ni kujali fedha Mtanzania ni maskini hana hata hela mzazi utamlea vipi mtoto wako? maana huwezi kufuata mzungu wakati huna hata ajira..Na ndio maana nikasema sisi tuna maadui mawatu Ujinga, maradhi na Umaskini wakati wazungu hawana maadui hao.. Strategic lazima sisi tukabiri maadui zetu ktk mazingira yetu na wao wanafanya wayafanyayo kulingana na maadui zao ktk mazingira yao..Sisi tulikuwa wapi na tunakwenda wapi hili ndilo liwe somo la mzazi wetu..

Tatizo naloliona mimi ni pale mnashindwa kumlea mtoto ktk mazingira tulokuwepo mnataka kufuata ya vitabuni kwa mangira tofauti... Sisi husema Aisifiaye mvua imenyeshea -Mkulima..Ukimwambia mzugu hivyo atakuona mjinga kweli maana kwao mvua haina sifa ni kikwazo kwa shughuli zao za kila siku. Kwa mkulima wao huyu anategemea kilimo cha umwagiliaji mvua zikinyesha zinaharibu kabisa mahesabu yake.

Waberoya,
Ngoja nikuchekeshe kidogo...Nambie mwanamke mzuri hasa (mtoto mtoto roto) kwa mtazamo wa mwafrika ni Upi?
 
Nakubaliana kabisa na dhana ya mtoto ulmelavyo ndivyo akuavyo na pia mfano wako wa wazungu. Ila kumbuka kwamba wao wana uwezo hivyo fikra zao ni kujali fedha Mtanzania ni maskini hana hata hela mzazi utamlea vipi mtoto wako? maana huwezi kufuata mzungu wakati huna hata ajira..Na ndio maana nikasema sisi tuna maadui mawatu Ujinga, maradhi na Umaskini wakati wazungu hawana maadui hao.. Strategic lazima sisi tukabiri maadui zetu ktk mazingira yetu na wao wanafanya wayafanyayo kulingana na maadui zao ktk mazingira yao..Sisi tulikuwa wapi na tunakwenda wapi hili ndilo liwe somo la mzazi wetu..

Tatizo naloliona mimi ni pale mnashindwa kumlea mtoto ktk mazingira tulokuwepo mnataka kufuata ya vitabuni kwa mangira tofauti... Sisi husema Aisifiaye mvua imenyeshea -Mkulima..Ukimwambia mzugu hivyo atakuona mjinga kweli maana kwao mvua haina sifa ni kikwazo kwa shughuli zao za kila siku. Kwa mkulima wao huyu anategemea kilimo cha umwagiliaji mvua zikinyesha zinaharibu kabisa mahesabu yake.

Waberoya,
Ngoja nikuchekeshe kidogo...Nambie mwanamke mzuri hasa (mtoto mtoto roto) kwa mtazamo wa mwafrika ni Upi?[/QUOTE]?

makalio kaka ndio kila kitu!!

sasa elimu hii ya kizungu na lugha hizi za hawa wakoloni imekuwaje tukazirithi na leo tunazitumia na tusipozitumia au kama hujui unaonekana hamnazo....tulichagua kutokuwa huru,hatuko huru......uhuru is just another myth
 
Sasa tabia hii wameipata wapi? wakati unasema Nyerere ni baba yao? au ubaba wa Nyerere uko kwenye jina la Tanzania na hauko katika raia wa Tanzania na katika hao raia wa Tanzania...viongozi sio watoto wa Nyerere...au ubaba hapa unalenga kwenye kuzaa tu na sio kulea??

Lazima nikiri kwamba hapo umenichanganya tu, nikikujibu itakuwa tu kwa sababu ya KUKUJIBU;
 
makalio kaka ndio kila kitu!!

sasa elimu hii ya kizungu na lugha hii=zi za hawa wakoloni imekuwaje tukazirithi na leo tunazitumia na tusipozitumia au kama hujui unaonekana hamnazo....tulichagua kutokuwa huru!
Aaaah mboona umepunguza...

Kwanza, Mwanamke mweupe, mrefu mwenye shingo ya upanga macho ya gololi, pua ya mfuto, kifua cha wastani na makalio ndio yamehitimisha haswa uzuri wa mwanamke...
Nani katufunza haya? -Sasa utawakuta watu wakisema beauty is in the eyes of the beholder lakini vitu hivyo vipo kaka, wengine watasema Uzuri wa mtu taifa lakini nao waongo huchagua wake zao kwa kufuata vitu fulani.. In general sisi waafrika makalio nadio yanachukua nafasi kubwa wakati ukimwambia mzugu sifa hizi hizi atakuona kichaa..

Nyerere hakutufundisha lolote JIPYA ni kama ilivyo free market economy.. Mfumo huu ulikuwepo kabla hata ya Adam Smith na Ujamaa kabla hata ya kina Karl Max na wengineo isipokuwa hawa wote wamejenga hoja kulingana na mazingira yao na sifa zimetokana na watu wake kutazama hali yao na ktk mazingira yao. Alichojaribu kufanya Nyerere hakikuwa kipya kwa Watanzania ni maisha tulokuwa nayo kwa karne na karne ndio utamaduni na ID yetu kama jamii kabla ya kutawaliwa na Nyerere akataka kuuweka mfumo unaolingana nasi (WATU na MAZINGIRA) vitu ambavyo vinajenga utamaduni wa watu hao..Na hawa viongozi wetu wa leo wnaayafanya wanayoyafanya kwa sababu Miafrika Ndivyo Tulivyo lelewa kuwa na Dikteta, ambaye ni baba wa familia.

Ujamaa wa Nyerere ulitokana na mila na desturi zetu japokuwa watu hatukubaliani nao lakini mzazi wa Kitanzania ni dikteta kiasili, atamlea mtoto wake ktk hali waliyopo hadi pale mtoto atakapokuwa tayari kujitegemea ndio unamwacha akajionee mwenyewe ya dunia. Msingi unamjengea mwanao kwa faida yake yeye na kuhifadhi ya urithi iwe nyumba, shamba au kulinda familia na unawatazama watoto wako wote kama vile una mmoja. Mimi binafsi ndivyo nilivyomwelewa Nyerere na bahati mbaya sisi leo hii tunatazama makalio babu...JK kauza sura tumemchagua na sii kwa sifa zilizoandikwa vitabuni isipokuwa Ndivyo Tulivyo..Nyerere ubaya wake unatokana na kwamba hana makalio!.
 
Lazima nikiri kwamba hapo umenichanganya tu, nikikujibu itakuwa tu kwa sababu ya KUKUJIBU;

itakuwa ngumu tu kwani kuna vitu vinalazimishwa kwa sababu ya mazoea au slogan fulani za kisiasa! umeona fo sure Nyerere hawezi kuwa baba wa taifa la Tanzania..ambalo ndani yake kuna zanzibar!

nimekuja upande wako kukubali ubaba wa Nyerere na kuweka kanuni za ubaba huo ..unaona kabisa pia anatoka nje hafai.........in short viongozi wa sasa wa CCM wamelelewa na baba yao Nyerere, tabia hii waliyo nayo ni ya nani? huwezi kukubali kuwa hii tabia ni ya Nyerere...lakini ukikataa kuwa si yake unakataa sifa za ubaba wake au hakuwa baba mzuri!!...unless viongozi hawa wamelelewa na baba wa kambo! afadhali ngau wangekuwa watoto wawili watatu watukutu jamani CCM wote wezi na baba yao ni Nyerere?

au.. nimesema tukubali kuwa ubaba wa Nyerere uko kwenye kuzaa tu na sio kulea? mlezi na mzazi nani ana nguvu?

kuna vitu vitakubalika kwa sababu jamii imekubali iwe hivyo..ndugu yangu mpendwa mchambuzi ...ila kikanuni na kimantiki Nyerere is and will never be the father of this nation, can never be explained principally as you have tried...but can be accepted and believed by all of us! beliefs have no logic......umeona nadhani!
 
Waberoya,
Mkuu sii umeona viongozi wa vyama wanavyoendesha watu wengine vyamani? Unafikiri ni Unyerere au Ndivyo Tulivyo..Wabunge hadi Ma mayor hujiona wao ni wao waheshimiwa! jambo ambalo Nyerere alitukataza kuwa na waheshimiwa lakini wapi... Mtu akikabidhiwa tu Unyapala basi yeye ndio Mungu mtu ilikuwepo toka utumwa na hadi magerezani kwa wafungwa, nyapala hujiona mkubwa kama Mungu.. Ni hulka ya mtu mweusi..
 
Hulka ya mtu mweusi ndio nini bana acha kutuchanganya wewe?? nyerere mweusi au mweupu? unasifia mweusi moja unadharau weusi wote ukiwemo wewe?? ipi ni ipi? Tabia haina rangi mkuu
 
Back
Top Bottom