Mr Right,
Asikudanganye mtu kabisa Tanzania tulikuwa hatuna kitu kuingia Free market economy tena basi ndio tungewajenga Kenya vibaya sana kwa sababu viwanda vyote vya mali zote zilizokuwa zikipatikana Tanzania baada ya UHuru to 1967 na kabla wakati wa Ukoloni zilitoka Kenya. Tanzania palikuwa patupu kabisa sasa wewe nambie utaingiaje ktk market economy wakati huna viwanda wala mtaji halafu wasomi wenyewe sijui wanne Tanzania nzima...
Jamani kuweni wakweli ktk fikra zenu yaani kweli unafikiri ombeomba wa pale msikiti wa Ijumaa ukimkabidhi kiwanda kitaweza kufanikiwa kwa sababu ya free market..Wewe mwenyewe umesema free market economy inahitaji foundation which we never had na hadi leo hii hatuna kwa sababu alichofganya Nyerere ndani ya Ujamaa ni kujenga foundation yetu wenyewe kwanza tuwe tunajitegemea wenyewe toka ukulima hadi uzalishaji kwa maana kwamba Ukulima ndio ungezaa kazi viwandani.
Nyerere hakupanga exit yake 1977 tena nadhani ndio ulikuwa wakati ana nguvu kubwa na naweza sema ktk Pick iwe ktk Afrika au dunia...ni wakati alopata mitihani mingi zaidi kwa sababu hiyo maana ndio wakati Kenya , Malawi na Uganda nao walianza chokochoko zao baada ya kuanguka kwa EAC na akataka kuijenga Tanzania yenye uwezo wake pekee..Na kuhusu Elimu Marekani hawana model nzuri ya kusifia hata kidogo. Haya maswala ya kuiga mtayaacha lini jamani...Mtu kamaliza chuo kikuu hajui hata nchi yake mwenyewe!