Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
- Thread starter
- #741
H
Ndiyo maana nikasema, kama tungekuwa na Free Market basi tungeweza kuuza mazao yetu kwa kuwa ecfficiency zaidi, na bei ya kuuza pia ingekuwa ndogo sana; ambapo hata mnunuaji hawezi kulalamika.
Una mifano juu ya hili? kuuza mazao in what context, settler economy under hiyo free market kama kenya na zimbabwe? efficiency for who? A settler or a labourer who doesnt own land; jaribu kuelewa mazingira ya kilimo unachokitamani, ndio maana hata Tanzania ya leo, hao unaowaona ni bora chini a soko huria kiuongozi, haujiulizi kwanini bado serikali inaendelea kumiliki ardhi under free mkt? kwanini peasant holdings chini ya hiyo free mkt tanzania haibadilishwi iwe kama unavyotana wewe in the name of efficiency? kwanini viongozi wa sasa wanaacha yale yale ya nyerere katika kilimo? najua kwa sababu hauna uelewa kwanini, utapelekea visingizio kwamba ni mwalimu aliacha hiyo system, na aliharibu; ukitamka hilo, im going to rest my case on this issue btn me and you; otherwise text book knowledge haina maana kama haipo practical, usisome tu vitu na kuvilazimisha in contexts ambazo haziendani na such theories..............