Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Zakumi,
Siyo kuchenga. I honestly do not know why. Nilisikia rumours tu kwamba alimrudisha Mama Maria kwao for a long time mpaka UWT (Umoja wa Wanawake) wakaomba kikao naye kuhusu suala hilo. Lakini sijui kabisa kilichopelekea mkasa huo.
The only person who I know may know is Butiku, but I doubt that he would be willing to talk about it.
Kweli mtu ukiwa maarufu yatazungumzwa mengi. Kuna watu wanasema ni Kadinali Rugambwa aliyeingilia kati na wewe unasema UWT.