Unapenda vya kusikia eeeh! Mbona sisi tangu tumesikia wewe ni mtoto wa shamba boy wenu hatujasema
jibu hoja kwa hoja....hunijui sikujui twende sawa kwa hoja tafadhali matusi hata mm ninayo pia...
wanasema kamanda mbowe ni mtoto wa JK nyerere...safi sana like father like son...full gwanda
wanasema kamanda mbowe ni mtoto wa JK nyerere...safi sana like father like son...full gwanda
Acha unafiki, ulishawasikia wakitoa madai kama hayo?nyerere alikuwa rafiki mkubwa wa mao tse dong! ... muasisi wa chama cha kikomunist cha china .. hayo mavazi aliyatolea... kule! plus nawashangaa chadema alama ya vidole viwili "peace " washajiwekea haki miliki ni kwao! while ni global symbol !
Watoto wote wa Nyerere wanafahamika, Mbowe baba yake anajulikana mzee Mbowe...JF sio sehemu ya porojo.
mkuu,,,,mbowe yupo mioyon mwa watu na ni mtumishi wa watu ,hivyo yeye ni mali ya watu kama dr slaa,,,,tetesi za mdau zipo sana,,,huenda watu wanapoona kipaji kichomozacho kuziba ombwe na kukata kiu yao ,,hawaamin wanajaribu kuoanisha huyu kama ,,pele,,,zidane,,maria carry,,,sasa propaganda zikiingizwa,,,zinabadilisha taswira,,,mbowe,,freeman,,,,amezaliwa mwaka tuliopata uhuru,,,,nimezaa mwanangu nimemwita freeman baada yakumuona kaka free ni mwanasiasa asiye mshamba na asiye pelekeshwa na mihemko,,,,,kipaji cha malengo,,,,ila imesemwa sana ni mtoto wa julius kwa vile tu julius kipindi hicho alipiga ngome huko akitafuta,michango na uungwaji mkono,,,,mbowe ni mtz ana watan kama watu wengine,,,wapare wanaweza kumtania,,wewe mbowe huwezi kuwa mchaga wachaga wapendavyo pesa ungesha nunuliwa na ccm,,,,,,nk,nkni utani tu,,,,,,acha majungu wewe! Freeman ni mtoto wa Aikaeli Mbowe! usichukue habari za kwenye vikao vya gahawa usilete humu!!
alitembea kwa mguu kutoka Musoma hadi Mwanza. Nyerere alikuwa si mchezo.
Watoto wote wa Nyerere wanafahamika, Mbowe baba yake anajulikana mzee Mbowe...JF sio sehemu ya porojo.
nyerere alikuwa rafiki mkubwa wa mao tse dong! ... muasisi wa chama cha kikomunist cha china .. hayo mavazi aliyatolea... kule! plus nawashangaa chadema alama ya vidole viwili "peace " washajiwekea haki miliki ni kwao! while ni global symbol !