sawa kauli ya mwalimu haipaswi kupuuzwa lakini kila zama na kitabu chake...kuna mambo ya Nyerere ukiyafanya leo wakati wa utandawazi kwa kujifungia ndani ya nchi eti unatuma tu wawakilishi hakika unaowatuma watakudanganya siku moja. Enzi za mwalimu hata viongozi wa chini walikuwa hawasafiri sana hivyo ilikuwa sio rahisi kumdanganya. hivi sasa ni utandawazi ni ama kuchagua kuwapa ruksa wasaidizi wako waende nje na kuja kukushauri Rais ukiwa ndani au kuchagua kupewa majibu ya uongo na wasaidizi katika masuala ya msingi.
Hata kama Nyerere alipewa 25 uninterrupted years ya uongozi pasi na mafanikio ya kuridhisha, haiondoi validity ya alichokiongea. Hakuna muunganiko.Nyerere alipata fursa adimu ya kutuongoza Watanganyika na kisha Watanzania kwa takriban miaka 25. Cha kushangaza ni kwamba hayo yoote uliyoyataja na mengine mengi ambayo hukuyataja Nyerere aliyafanya. Likiwamo hilo la safari nyingi za nje kutembeza bakuli (omba omba) na kama ilivyo kawaida ya omba omba, kuna sehemu alipewa na kwingine aliambulia patupu. Kwa hiyo hoja yako dogo haina msingi.
JK ni JANGA!!!
Wamerakani na nchi za magharibi zilizoendelea wanawachukia wachina kwa kuiba teknolojia zao. Hii inatokana na Rais wa china kusafiri mara kwa mara kwenda ktk nchi hizi ili kujua utandawazi unaendelea ndani ya mataifa haya na hatimaye kuuhamishia china.Ili kuongoza kizazi cha utandawazi ni lazima Rais aujue na kuuelewa utandawazi. kwa kukaa ndani ya nchi ni kupitwa na wakati kwani utandawazi unakimbia kwa kasi ya ajabu
Siyl kweli. speech hii ya Nyerere bado ni valid hata kwa wakati wa sasa. Tena ni valid zaidi katika wakati huu ambao unaweza kupata na kufuatilia chochote kinachoebdelea dunian kupitia kiganja cha mkono. Unaweza jsawa kauli ya mwalimu haipaswi kupuuzwa lakini kila zama na kitabu chake...kuna mambo ya Nyerere ukiyafanya leo wakati wa utandawazi kwa kujifungia ndani ya nchi eti unatuma tu wawakilishi hakika unaowatuma watakudanganya siku moja. Enzi za mwalimu hata viongozi wa chini walikuwa hawasafiri sana hivyo ilikuwa sio rahisi kumdanganya. hivi sasa ni utandawazi ni ama kuchagua kuwapa ruksa wasaidizi wako waende nje na kuja kukushauri Rais ukiwa ndani au kuchagua kupewa majibu ya uongo na wasaidizi katika masuala ya msingi.
have your sit daughter, time for porojo is out! It is time for grownups to discuss great matters. Enjoy a good sleep. We can talk now and let the mama porojo sleepIli kuongoza kizazi cha utandawazi ni lazima Rais aujue na kuuelewa utandawazi. kwa kukaa ndani ya nchi ni kupitwa na wakati kwani utandawazi unakimbia kwa kasi ya ajabu
Nyerere ndio aliotufanya mpaka leo tuwe maskini. Aliwaweka watu kisiasa zaidi kuliko kiutendaji, aliingiza nchi vita vya uganda tukatumia rasilimali zetu zote, aliwafukuza watu wenye akili ili abakie na mazuzu awatawale vizuri, alitumia rasilimali zetu kukomboa nchi zingine ambazo baadae hata shukurani hawana . Hana na nyie endeleeni kuonyesha ubaya wa Nyerere..........................

Ili kuongoza kizazi cha utandawazi ni lazima Rais aujue na kuuelewa utandawazi. kwa kukaa ndani ya nchi ni kupitwa na wakati kwani utandawazi unakimbia kwa kasi ya ajabu
Umepotea "kichakani" na kukosa mantiki iliyoletwa jamvini..Elewa alichosema Nyerere na sio utaratibu wake wa uongozi au wa Kikwete. Pia uelewe kwa sasa teknolojia imetuwezesha kupunguza safari na sio kinyume chake Kama unavosema. Umeshasikia "video conferences,Skype" n.k..?sawa kauli ya mwalimu haipaswi kupuuzwa lakini kila zama na kitabu chake...kuna mambo ya Nyerere ukiyafanya leo wakati wa utandawazi kwa kujifungia ndani ya nchi eti unatuma tu wawakilishi hakika unaowatuma watakudanganya siku moja. Enzi za mwalimu hata viongozi wa chini walikuwa hawasafiri sana hivyo ilikuwa sio rahisi kumdanganya. hivi sasa ni utandawazi ni ama kuchagua kuwapa ruksa wasaidizi wako waende nje na kuja kukushauri Rais ukiwa ndani au kuchagua kupewa majibu ya uongo na wasaidizi katika masuala ya msingi.