- Thread starter
- #41
Rais satta tangia achaguliwe amesafiri mara moja tu, hapa kwetu kusafiri tunaona fashion, eti bila kwenda kuzungumza na wakubwa hawa hatuwezi kupata misaada. mimi napenda business trips, uende uka negotiate miakataba na pia wao waje hapa kufanya hivyo si wewe kwenda mara kwa mara kuomba wakati una mali watatupuuzaAma kweli Mama Porojo! Utandawazi hauhitaji face-to-face contact- angalia tunachofanya hapa! Ni vyema Raisi akajiwekea vipaumbele! Angalia kule Davos- maraisi waliotaka Africa ni Zuma na JK tu! Unakumbuka walipokutana mara ya mwisho, ZUMA alivyoonyesha umahiri wa kuchenza ngoma za utamaduni? Nchi zingine zimetuma Prime Minsiters, kwa nini? Pengine ili kushughulikia mambo mengine nyumbani!
Kweli mgomo wa madaktari upo- usingetegemea Raisi atoe neno- walau awepo na kuagiza kufanyika kitu! Kule anaenda kuomba? Anakwenda kuomba madaktari waje wachukue nafasi za hawa ambao wamegoma? KIPAUMBELE!
Lakini pia ni vizuri tukajivunia utanzania wetu- na hili ni through SELF RELIANCE, TUSIWE KUPE!