NYAMKANG'ILI
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 223
- 112
Nimepokea kwa maskitiko taarifa kwamba madiwani wa Halmashauri ya BUTIAMA wanakataa kuhamisha makao yao kutoka MUSOMA kwenda Butiama,
(1) eti hakujaendelea
(2) eti hakufai kwa wao kuishi ............................... HII NI LAANA kwa madiwani hawa wa CCM
Enzi za MWL hawa wangetandikwa viboko...
YAANI MWL aishi BUTIAMA, azalie watoto wake Butiama, MARA KADHAA avunje NA KUTANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI akiwa BUTIAMA; KIKWETE aitishe kikao cha HALMASHAURI kuu ya CCM BUTIAMA... Madiwani wao waseme hakufai kwao kuishi.
NAWAJUA MADIWANI hawa, wengi wao hata choo hakuna nyumbani kwao... AIBU HIII