Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,613
Miaka kama kumi na mbili iliyopita nikiwa kidato cha sita mkoa mmoja hapa Tanzania katika shule moja ya wavulana tu au boys ambayo ilikuwa ni ya bweni ambayo ilijengwa nje kabisa ya mji yani maporini kabisa.
Ebwana siku moja tumetoroka shule na wanangu tukaenda mtaani kutembea nikakutana na binti mmoja matata sana aliyeitwa Sarah, haikuchukua mda kabisa nikamsaundisha kwani kwa bahati nzuri kumbe naye alikuwa anasoma Girl shule iliyopo mtaa wa pili kutoka uboyzini kwetu.
Tukaanza mahusiano bhana ila shule zinavyobana kukutana ikawa ni changamoto but kwa miaka hiyo 2006 umeme Tanzania ilikuwa ni kero sana yani kila siku unakatika na ukikatika tulikuwa tunautumia kuruka waya na kwenda kusaka ile kitu inameza mwenzie.
Siku moja bhana tumeingia prep saa moja jioni kufika saa mbili tu umeme umekatika tukasikilizia generator but hawakuwasha mimi kama kawa nikatoka nikaruka waya nikaenda school kwa demu wangu ikumbukwe kuwa ile shule ni ya Girls na inalindwa hatari kwakuwa nilishajua njia zao za panya nikaingia kupitia main gate kwani hufungwa saa3 usiku na mda ule ilikuwa saa2 but mda wote walinzi walizagaa getini but niliingia kwakunyemelea kwakuwa kulikuwa hakuna umeme/giza.
Nikajibanza ukutani hadi getini na track sut yangu nyeusi nikafanikiwa kuingia ile nimeingia tu kumbe kulikuwa na vitoto vya form one vinachezacheza ndani ya jengo vilivyoniona si vianze kupiga kelele "mwizii mwizii mwiziii"
Walinzi wakaja na mishale marungu huku wanafunzi wakiwa na mawe wakinifata nilipo wakisema ua mwiziii ua mwiziii.
Nikasema mama yangu leo nakufa kwa upuuzi tu jamani ee mola wangu nisaidie kweli Mungu hamtupi mja wake nikapata wazo nijisalimishe na bahati nzuri yule Sarah alikuwa head girl na mtu maarufu shule nzima nikaona nitumie fursa hiyo kujisalimisha kwa kujitambulisha huku nikiwa nishapigwa mawe sana na wanafunzi na nilikuwa nakinga tu uso na kichwa vingine niliwaachia.
Nikapaza sauti "I'm not a bad man I'm just Sarah's boyfriend please don't kill me.
Sarah where are you to save me baby?
Basi kilisikika kilio huko Sarah akilia na kusema Askari dont do that I know him huku akinifuata Alhamdulillah wanafunzi wote wakaacha but askari bado wakawa wamenishikilia na kwa bahati nzuri Matron na Head girl were just friends so haikuwa issue kuwaambia walinzi waniache na hawakufikisha kwa mkuu wa shule yakaisha nikawapooza buku ten ten siunajua miaka ile ya Jakaya.
Matron akanionya nisije tena shule na akamwambia Sarah/Head girl kuwa akirudia tena atamshaki kwa mkuu wa shule but siunajua private schools Ada ndio inaongea.
Hiki kisa huwa najaribu kukisahau ila hakitoki kichwani kabisa aiseee Ujana maji ya moto.