Nyegezi yafikisha viewer mil2

Nyegezi yafikisha viewer mil2

Basata wanatumika kuupa kik huu mziki. Na haipiti wiki wataufungua. Au atarekebisha kidogo atoe clean verson. Lakin mi naiman basata wanatumika hapa kuupa kiki. Watu tumesikiliza huu mzik kutafta wap ulpotoa matus ila lengo lilikuwa sio kuusiklza au kuuona.
Sasa wakitengeneza clean version huoni kama wimbo utapoteza melody iliyokusudiwa? Jamaa wametarget neno Nyege nyegezi ndo lime-sound poa na basata wanataka neno nyege litoke litamkwe nyegezi full.
Its like "aaah Kundu kunduchi kwetu dar kunduchi" [emoji23]
 
eti mi mtoto..pengine nimecheza na mama yako kombolela,wenzao waliimba mafumbo wao mara paka mate mara nipe kwa nyuma,nifinyie kwa ndani..
Ziro hujui tenzi,kwani nipe kwa nyuma we unaelewa nini?
Nyama ya mbele ni tamu ya nyuma inamafuta of side trick hao.
"Papa mkubwa papa papa mdogo he? Kipapa"
Bwachuchu namimi nataka kuitwa.
Hayo yote hapo juu mashairi ambayo basata ilikuwepo je walichukua hatua gani?
 
Mkuu km unategemea nyimbo ndio kuhamasishe ukafanye kazi basi unaitaji msaada sio bure
Akina mbaraka mwinshehe ,salum abdala ,tabira jazz ,kilwa jazz,sikinde,urafiki,nuta walikosea kuhamasisha jamii kufanya mambo mbalimbali!??kiukweli hao bongo flava zaidi ya kuimba mpenzi hawawezi kuimba wala kupiga mziki WA ala !!!Hovyovyo tuu ndio maana mziki WA bongo flava ni kama banzoka ukipigwa leo baada ya miezi mitatu umekwisha no meseji!!
Labda nikusaidie Music unatakiwa ufundishe na uelimishe jamii upoooo!!!!???
 
Ziro hujui tenzi,kwani nipe kwa nyuma we unaelewa nini?
Nyama ya mbele ni tamu ya nyuma inamafuta of side trick hao.
"Papa mkubwa papa papa mdogo he? Kipapa"
Bwachuchu namimi nataka kuitwa.
Hayo yote hapo juu mashairi ambayo basata ilikuwepo je walichukua hatua gani?
basata ya leo sio ya juzi..waambie waandike mashairi ya maana,offside trick washaacha muziki
 
madogo waache kuimba matusi,nimepiga marufuku muziki kwangu sababu ya matusi,huo nyegezi hata siujui
Kwa hiyo na basata wapige marufuku kwao ?... Sie makuli na mafund tanesco matusi ndo kibwgizo
 
Back
Top Bottom