Loooh!!!Hiyu sio kama yale mapaka ya Muhimbiri,
yenyewe yanakula mpaka machungwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji3] [emoji31] [emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nyau wa Dar, au Hotelini
breafast
1. mayai
2. chai ya maziwa
3. supu ya kongoro
4. mabaki ya firigisi namaini ya kuroast
5. maziwa fresh
6. mabaki ya mchemsho wa kuku ama samaki
lunch
1. wali
2. chips zenye mayonise au ivory tomato sauce
3. kuku wa kukaanga
4 samakiu wa kukaanga
5. maziwa mtingi safi
6. tropical Juice
Sasa unamuwekea samaki RAW hawezi kula maana hata flavour hakuna.
May be has been reincarnated into other realmsI had my Nyau like that, ukiweka kitu bila kuweka kwenye kisahani chake hagusi, hata ukiweka samaki na dagaa kwenye chombo hali na anafukuza hadi kuku wanaozengea.. Alikuja kufa tu ghafla nikakuta mzoga wake kwenye karavati nje ya nyumba yangu, nilimlilia paka wangu jamani, nilihisi kama nimepata msiba wa binadamu. Huwa namkumbuka sana paka wangu. Apumzike huko aliko...
Hiyu sio kama yale mapaka ya Muhimbiri,
yenyewe yanakula mpaka machungwa!
Paka wako aliitwaje... me ninae wangu anaitwa Carlos!I had my Nyau like that, ukiweka kitu bila kuweka kwenye kisahani chake hagusi, hata ukiweka samaki na dagaa kwenye chombo hali na anafukuza hadi kuku wanaozengea.. Alikuja kufa tu ghafla nikakuta mzoga wake kwenye karavati nje ya nyumba yangu, nilimlilia paka wangu jamani, nilihisi kama nimepata msiba wa binadamu. Huwa namkumbuka sana paka wangu. Apumzike huko aliko...
Maria Clara... Nimemmisi sana..Paka wako aliitwaje... me ninae wangu anaitwa Carlos!
Kafunga huyo mwez mtukufu huu