Nyau wa wapi huyu?

Nyau ana mgomo anataka na yeye aonje uroda wa basi la mwendo kasi
 
I had my Nyau like that, ukiweka kitu bila kuweka kwenye kisahani chake hagusi, hata ukiweka samaki na dagaa kwenye chombo hali na anafukuza hadi kuku wanaozengea.. Alikuja kufa tu ghafla nikakuta mzoga wake kwenye karavati nje ya nyumba yangu, nilimlilia paka wangu jamani, nilihisi kama nimepata msiba wa binadamu. Huwa namkumbuka sana paka wangu. Apumzike huko aliko...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…