Nyasaland kazi ipo huko

Hapana. Mwenyewe Bi Banda kaishanyoosha mikono. Ngoma ni kati ya Peter Mutharika wa DPP (kuna tuhuma tele kwamba aliiba kura) na Lazarus Chakwera wa MCP (Chama tawala cha kwanza kinachojaribu kurejea madarakani).
 
sasa si achie tu hicho kiti kisije kikamlalia juu akaumia zaidi,kipanya naye hakosei hahahaaaaaaaaa lol!
 
Hawataki kukubali matokeo hawa. Ni sawa tu na hawa wa kwetu haeakubali ni kuchakachua tu kama ilivyokuwa 2010. Matokeo yake tumeshapoteza mwelekeo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…