Hivi ile Tren ya kwenda Moshi bado ipo?

Wakuu hivi ile Tren ya kwenda Moshi iliyofufuliwa na magufuli bado ipo?

Maana mnajua mwezi huu Wachaga wengi huenda makwao kuhesabiwa.....

Ipo inafanya kazi au ndo basi tena wahuni washafanya yao?
Ushasikia atcl inakufa
??treniya moshi sawa na atcl .mkuu
 
Back
Top Bottom