Idadi ya wachumia tumbo inaongezeka!!! Ila kamnanga jamaa kuwa eti kafumbia macho EPA, Wauza unga, majangili!!! Toba rabi, eti ingekuwa CDM hawa watu wangekuwa gerezani, which is the fact!!! Kweli huyu ana akili na inajumlisha na kutoa!!! Nina hakika kwake 1+1 =10.