Nyaronyo Kicheere 'ahamia CCM'

Nani mwenye makala nzima anisaidie? Kwakweli nimeipenda. Huyu jamaa kuwaza vyema sana. Mwenye nayo hiyo makala, plz.
 
Kupitia uzi huu nimegundua kuna watu sitakiwi kubishana nao kwenye uzi wowote maana uelewa wao ni mdogo.Inawezekana watu wengine wanafikiriaga kwa kutumia ma------.
 
na mie nahamia ili nifanikishe dili zangu za abortions kitaani huku.ccm hoiiiiiiiiiii
 
nakubali sana makala za kicheere, sipati picha kkwete anavyoumiza kichwa kwa huyu jamaa.

Ni mtu makini sana anajiamini sana, ana watoto wazuri kweli ningekuwa sijaoa ningemuoa RHOBI au Tumaini, makala zake zina fasihi sana na ukiingia kichwakichwa utaweza kumuelewa.......... nakumbuka ndio aliyemtimua nchimbi jangwana.... Ukimuona yupo simple sana, nampenda sanaaaaaaaaaa.
 
Hana akili huyu kama hiyo ndio sababu.wizi na ufisadi ulioko nchini wewe unauunga mkono?kweli akili ni nywele.kila mtu ana zake
 
Sidhani kama CCM wanaweza kumpokea huyu hata wakipewa bure. Huyu ni mmoja wa waliomwandikia Rais KIMEMO cha kutaka ateuliwe kuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, taarifa zimevuja.

msg sent and delivery, weka kimemo hapa... ukishindwa utakuwa unarambishwa pipi.
 
:welcome::welcome::rockon::rockon::rockon::rockon::welcome::welcome:
 
Hahahahahahaa...


Kicheere huwa ananifurahisha sana na makala zake za kinyumenyume....
 

Mimi namuonea huruma sana maana, kimsitu cha Mabwe pande bado kinatisha sana.

huyu ni mkurya anajiamini na hagopi mtu, sio wa leo huyu ni siku sana na serikar inamjua, mpaka ubunge alishagombea.... muulize makwahiya, jenerali n.k... alishabadilisha jina akaitwa ridhiwani nilipenda sana makala yake.
 
Nimeipenda style hii ya kuinanga serikali na CCM, safi sana kamanda endelea kufikisha ujumbe kwa njia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…