Elections 2010 Nyaraka za kidini kuhusu uchaguzi mkuu ruksa

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Sasa mwanzo serikali ilipiga kelele; sasa inakuwaje mizuri? Je ukiangalia ni upi kati ya ule wa waislamu na wakristo una tija kwa taifa letu? Kingunge yuko wapi sasa? Au amekwisha uelewa kwa muda wote huo?

Source: Habarileo 13 May 2010 (front page)
 
Je yawezekana CCM wamekwisha pata mbinu ya kushinda hata kama hizo nyaraka (waraka wa wakristo na ule wa waislamu) zitafuata? Walipokuwa wanapiga kelele walikuwa hawana mbinu? Au ni namna ya kuchota mawazo ya dini zote mbili? Maanake JK alikwisha sema asilimia kubwa ya watanzania ni bendera fuata upepo!
 
Back
Top Bottom