NYARAKA: Watoto wa Magufuli, Dotto James na mke wa Makonda na viwanja huko Ununio, Dar

Status
Not open for further replies.
Watoto wa Rais Magufuli na Katibu Mkuu Hazina Bw. Dotto James na Mke wa Mkuu wa Mkoa Dar Bw. Paul Makonda wanaonekana kugawiwa ardhi iliyoporwa kutoka kwa Wananchi DAR. Inasemekana ni ‘syndicate’ kubwa ya Viongozi wa Serikali na CCM kujimilikisha ardhi.


Sent using Jamii Forums mobile app
LETA VITU VYENYE MAANA HUMU YAANI HIVYO VIWANJA VYA HIGH DENSITY NDIO MUNAFANYA JAMBO KUBWA LA KUJADILI HAPA SQ MITA 800.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kiwanja cha 800Sq Meters ni sawa na 20X40meters Ni mediam density ty wala si Low Density. Ni vidogo sanaaaa. Hizi ni siasa za majitaka tu

sanaaaa ?
duh!
kwlei mwneye shibe anadharahu, watu tunaishi kwenye 15x25 tena tumenunua kw amamilioni.
 
M
LETA VITU VYENYE MAANA HUMU YAANI HIVYO VIWANJA VYA HIGH DENSITY NDIO MUNAFANYA JAMBO KUBWA LA KUJADILI HAPA SQ MITA 800.
mtoa mada nafikili hajui maana ya SQ meter ambayo ni sawa na urefu Mara upana tukichukua eka moja no meter 70 kwa 70 no sawa na kusema 70×70=4900 SQ meter so kwa sq meter 800 au 1700 ni eneo la kawaida mbona baharresa Zanzibar amechukua lieneo likubwa tena beach hatujawaii hoji
 
Tumeanza kufumbuka macho sasa
Yesu na maria!

Ufisadi katika sura mpya!Kweli hawa watu wameivana,mpaka viwanja wanagawiana sehemu moja!
Hii ni viwanja tu,deal gani nyingine wamepiga pamoja!
Halafu kuna mtu anahisi Makonda atakuja kutumbuliwa,mtasubiri sana!
Ukiona JPM yuko radhi nchi ikose matrilion ya misaada au mikopo ilimradi tu kumlinda Makonda basi ujue kuna binding force kubwa sana baina yao!

In God we Trust
 
Siyo rahisi kihivyo
Hahaha Zitto anajinadi buchani. Sasa hivi watamtoa nyongo, hawachezewi hao wasukuma. Kwasasa Tanzania ni yao, angesubiri watoke madarakani turudishemali yetu tuwaache masikini kama walivyoingia madarakani.

In God we Trust
 
Mimi napenda tuwe na haki sio tu mkiona Jina MAKUFULI basi mnaanza shutuma.

Kila raia ana haki ya kumiliki ardhi.

Kama hii ardhi si halali, imeporwa au dhuruma hapo sawa.

Ama sivyo, Kila raia awe Rais, Mkuu wa mkoa , waziri, mbunge, mfanyabisahara , Mkulima wote tuna haki sawa ya kumiliki ardhi ya Tanzanaa.
 
Watoto wa Rais Magufuli na Katibu Mkuu Hazina Bw. Dotto James na Mke wa Mkuu wa Mkoa Dar Bw. Paul Makonda wanaonekana kugawiwa ardhi iliyoporwa kutoka kwa Wananchi DAR. Inasemekana ni ‘syndicate’ kubwa ya Viongozi wa Serikali na CCM kujimilikisha ardhi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Eti huyo mtu ndie anaechukia ufisadi! Bila aibu watu wanamlinganisha na Mwl. Nyerere!!!
Jiwe ni mwizi kama wezi wengine tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom