Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:Conclusion utaipata ukisha-download nyaraka hizi, hatutamwaga mtama kwenye kuku wengi
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:
1) kule Bungeni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge amesema Waziri amesaini MoU, hapa kwenye barua hii sasa story imebadilika kwamba ali witness kusaini Mkataba. Ukweli ni upi
2) barua yenyewe ukiicheki inaonekana mchongaji wake, alikuwa na haraka hata ilivyokuwa adressed, ndivyo, sivyo
3) tarehe ya barua yenyewe 22 Feb, wakati kamati ya bunge inasema Nundu alikutana nao mwezi machi...sasa inakuwaje barua inaandikwa kabla ya tukio lenyewe?
We soma nyaraka uelewe, hapa hakuna cha magazeti, Nundu ndiye anataka kutumia magazeti kujinusuru. Ameshindwa kujitetea katika Bunge, na Kamatu ya Bunge, ameshindwa kuongoza Wizara hadi anatofautiana na Bodi za mashirika yake, ameshindwa hata kujieleza anaanza kutuhumu kiila mtu! Huyo Nundu hafai anajikanyaga tu! Soma kwa makini utaona
Hii barua ni wazi kabisa kwamba ni ya kufoji ili kuendelea kumchafua Waziri Nundu. Sababu za kusema hivyo ni kama ifuatavyo:
1) kule Bungeni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge amesema Waziri amesaini MoU, hapa kwenye barua hii sasa story imebadilika kwamba ali witness kusaini Mkataba. Ukweli ni upi
2) barua yenyewe ukiicheki inaonekana mchongaji wake, alikuwa na haraka hata ilivyokuwa adressed, ndivyo, sivyo
3) tarehe ya barua yenyewe 22 Feb, wakati kamati ya bunge inasema Nundu alikutana nao mwezi machi...sasa inakuwaje barua inaandikwa kabla ya tukio lenyewe?
Mkuu Mbona tumsikia hao kwenye wekundu ni NUSU ya bei ya hawa CCCC, hebu msihukumu kabla ya kujua mambo, iletwe proposal ya hao China Merchants nadhani ndio tutajua mbichi na mbivu, hivi hivi tutakuwa tunasema jambo tusilolijua.
Invisible:
Hapo ndiyo kwenye UTATA.
Naomba mwenye kujua zaidi aelezee kwa nini imegongwa MUHURI wa SIRI aka SECRET???
Ninadhani neno SIRI kumbe kwa Serikali linamaanisha DILI
Si unakumbuka ile ya Kanumba, kuna safari aliahisrisha tena