Hivi inawezekana JK kwake habari nzito ni kwenda kuzika a Dead body Bingu wa Mutharika kuliko hii, bado siamini kama JK pamoja na udhaifu wake mwingi bado atakuwa amefanya kosa hili.
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
hizi barua hazimsafishi nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya china merchants holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama omar nundu kuipiga bao kampuni ya china communications construction ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka exim bank china! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa china cummunications construction ltd akaenda kwa huu wa china merchants holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani! Hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta tanesco! Omar nundu lazma ajiuzulu manina.....!
Habari inasikitisha tuu, yeye alikuwa wapi kumlipua naibu wake kabla ya sakata hili? Wote ni walewale hawezi kujitoa kabisa, Kuhusu uwezo Kuchagua kwa urafiki nafasi za kiutendaji zina madhala
Inasikitisha sana,watanzania wenzetu wanauza sehemu ya nchi yetu kwa miaka 45,mtu anatoa mkataba mpaka unazidi umri wake
Aisee hii kali. Maana hata miaka hamsini ijayo ya uhuru bado hawa jamaa watakuwa manamiliki hizi gati mbili na Wakati huo Malindi na Mombasa port zitakuwa kali sana na ktuacha sisi hatuna kitu kabisa. Wenyewe hawa hawajali mradi wachukue chao sasa hivi bomu litakuja kuwapasikia wajukuu zao.Sijapenda habari za kutoa bandari rehani kwa miaka 45.
Hapa unajaribu kutuaminisha kwamba mkataba wa IPTL ni sahihi kabisa & two wrongs can make it right?mlimani city imeuzwa kwa muda gani.huu ndio ubinafsishaji sema ukiwa mvivu wa kufikiri lazima ulalamike
Unaweza kuelekea kule jukwaa la chitchat au MMU ndio kuna mambo mepesi haya makubwa tuachie wenyewe ndio level yenu kudeal nayo.Makubwa haya....siyawezi!
huu ndio mwisho wa CCM! CCM inafikia mwisho, inakufa kabisa na itabaki historia. CCM haifai watanzania, chonde chonde watz tuikatae CCM
Hapa ni dhahiri waziri Nundu alikuwa anataka kufaidika moja kwa moja na uwekezaji wa CMHI kwahiyo akaamua kuzungumza na hawa wachina wa CMHI peke yake bila kuwashirikisha wenzake serikalini, wizarani kwake na wizara ya fedha. Kama TICTS kuongezewa mkataba toka miaka 15 hadi 25 hatukubaliani na huo mkataba, Nundu anapata wapi guts za kuingia mkataba wa miaka 45 na wachina hawa?Party A, hereby exclusively engages party B to develop berths no.13 and 14 of Dar es salaam port on a 45 years BOOT(Build, Own, Operate and transfer) basis ["the project"]
Mkuu mpingauonevu,hatuwezi kutaka mtu ajiuzulu kwa sababu tunataka ajiuzulu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kipi bora? Cccc mradi wao ni zaidi ya b500 na hao wengine ni kama b300. Sasa ata kama nundu anapata chochote atakuwa ameokoa kiasi gani?
By Geza Ulole
Hizi barua hazimsafishi Nundu bali inaonyesha kuwa alikuwa ana kaurafiki haramu na hii kampuni ya China Merchants Holdings nje ya njia zinazokubalika yaani kiofisi maana hawa wanaonekana hawafuati njia sahihi zinazotakiwa kufuatwa na kampuni bali wanatumia kiongozi mla rushwa/mlafi kama Omar Nundu kuipiga bao kampuni ya China Communications construction Ltd ambayo tayari proposal yake imekubalika na imeshapata fedha toka Exim Bank China! Sasa sijui ni punda gani anaweza kuacha mradi ulioiva namna hiyo wa China Cummunications Construction Ltd akaenda kwa huu wa China Merchants Holdings ambao haujasema ni kiasi gani ita-finance huo mradi na kwa riba kiasi gani! hapa simply hii barua inaonyesha jinsi mawaziri wetu vilaza walivyo tayari ku-take risky decisions na ku-subotage miradi mikubwa ya maendeleo ili mradi tu wamehakikishiwa kushibishwa matumbo yao na miradi fake inayokosa transparency bali kupitia kwa vimemo viinavyoweza kui-cost nchi kama mikataba ya umeme ta Tanesco! Omar Nundu lazma ajiuzulu manina.....!
umeandika kichuki chuki mno bila kuzingatia hoja za msingi.
hatuwezi kutaka mtu ajiuzulu kwa sababu tunataka ajiuzulu. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kipi bora? Cccc mradi wao ni zaidi ya b500 na hao wengine ni kama b300. Sasa ata kama nundu anapata chochote atakuwa ameokoa kiasi gani?
Mkuu Tamuchungu,
Nakubaliana na wewe. Tuna ugonjwa mmoja waTanzania, kuhukumu kwa kutumia mahakama ya magazeti. Watu hawataki kusikia kitu kingine zaidi ya waziri kujiuzulu. Hatuwezi kutumia mass ku-determine haki ya mtu. Waziri Nundu ni msafi,nimejiridhisha hivyo. Maelezo yake yamethibiti hivyo,ushahidi unaonesha hivyo. Kwa nini mnataka kuaminisha kila mtu ku-rely kwenye taarifa za magazetini na wanasiasa uchwara,wasioweza kujenga hoja juu ya misingi ya haki na uadilifu kuliko maelezo ya mtu tunayemtuhumu?. Hakuna mantiki ya Waziri Nundu kujiuzulu, hana kosa la kumfanya ajiuzulu. Wengine siwezi kuwasemea. Haki lazima ifuatwe hata kama anayepewa hatumpendi.