Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

Duh! Usafi wa Magufuli uko kwenye nyumba za Serikali alizouza? Na usafi wa Sitta uko katika kung'ang'ania kukaa kwenye nyumba ghali ya fahari ambayo Serikali inalipia kwa zaidi ya sh. Milioni 110 kwa mwaka?

We Fataki Magufuli angezuia vipi nyumba kuuzwa nawakati wakatiule ubinafsishaji ndo ilikuwa sera ya serikali...ulitegemea vipi, mfano Tanesco ibinafsishwe alafu nyumba zake zibaki serikalini? Au nawewe una akili chakavu?
 
Ichi kizee nikijeuri akili zke cku zinavyozid kwnd zinalingan na kimo chake.roho yke ngumu mithili ya pakadume.
Ni mjanja kumkamat na rushwa inabid ukae makin haswaaaaaaaa.......
Nakijua kinaga ubaga kilete pua zke hp kibishe kuwa co kijizi tn kijizi maarifa.
 
[QUOTE=kumeza;12198301]Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali (CAG), kutaka Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli achunguzwe, uozo zaidi katika wizara hiyo umezidi kugundulika.

Magufuli mwenye doa kubwa katika sakata la uuzaji wa nyumba za serikali amerekodiwa mara kadhaa akiwa anachukuwa fedha za rushwa kwa baadhi ya wakandarasi na mameneja wa Tanroads hadi kufikia hatua mbaya zaidi ya kwenda kuchukua fedha kwenye kambi za wakandarasi wa kigeni.


Mathalani hivi karibuni alipokuwa katika ziara za kukagua barabara katika mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Tabora, Singida alikuwa akipita na kuchukua vitita vya pesa toka kwa wakandarasi na mameneja wa Tanroads ambao walikuwa wamemtengea mgawo wake.


Mfano mnamo 4/2/2015 majira ya saa moja usiku akiwa wilayani Nkasi mkoani Rukwa alienda kulala kambini kwa Wachina na kuwaamuru wakandarasi hao wampatie kiasi cha Tshs. Milioni 300 ili aipitishe barabara hiyo na aendelee kuwapa tenda zaidi za ujenzi wa barabara.

Lakini Wachina hao walijipiga piga huku na kule na hatimaye Magufuri alikabidhiwa Tshs. Milioni 220.
Pia alipokuwa Tunduma, Waziri Magufuli aliendeleza mchezo wake na kutoa agizo lililompelekea Meneja Mkuu wa Tanroads kwenda kuchukuwa kiasi cha Tshs. Milioni115 toka kwa mkandarasi na kumkabidhi Magufuli kiasi hicho majira ya saa saba mchana.

Wakandarasi hawa ndio wale wanaojenga barabara ya Tunduma mpaka Sumbawanga yenye urefu wa kilomita 225.
Waziri Magufuli aliendelea na zoezi lake la kuwakamua wakandarasi na alipofika maeneo ya Katavi siku ya Alhamis ya tarehe 5/2/2015, Dkt . Magufuli kabla hajakagua barabara ya Kateto-Kibaoni yenye urefu wa KM 20.27 na Sitalike-Mpanda yenye urefu wa KM36.90 zinazojengwa kwa kiwango cha lami alimwamuru Meneja wa Tanroads amkabidhi kiasi cha Tshs. Milioni 185 ili aipitishe ubora wa barabara hiyo na ikamlazimu meneja huyo kumkabidhi kiasi hicho majira ya saa 4 asubuhi.

Waziri Magufuli alipoenda Tabora siku hiyo hiyo ya February 5/2/2015
aliwaahidi wananchi wa Sikonge kuwa Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Mpanda-Tabora kupitia Sikonge yenye zaidi ya kilomita 359 na siku hiyo hiyo alilala Tabora Hotel ambapo majira ya saa 7 usiku alienda meneja wa Tanroads wa mkoani huo na kumkabidhi Waziri Magufuli kiasi cha Tsh. Milioni 173 kama alivyoagizwa kufanya hivyo wiki moja kabla ya kuanza kwa ziara hiyo.

Mara zote Waziri huyo wa ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli hufanya ziara za kukagua barabara pale ambapo anajua wakandarasi wanakuwa wamelipwa pesa zao za ujenzi na yeye waziri hupita kuchukua ahsante yake kwa kuwapatia tenda husika ya ujenzi ambayo huilazimisha wahusika kupewa kwa sababu hujua ana asilimia zake katika mradi wowote ule.


Kama haitosh ikuna mradi wa barabara ya Bagamoyo Msata inayofanywa na Subash Patel. Mradi huo wa barabara ni dili la Waziri Magufuli na Ridhiwani.

Kwa jinsi watu walivyopiga pesa kwenye mradi huu, leo hii ukienda kutembelea mradi huo wa barabara hiyo utaona namna ambavyo barabara ilivyoanza kupasuka hata kabla ya kukabidhiwa kwake kutokana na kujengwa chini ya kiwango.


Ikumbukwe miradi hii ya barabara imechangia kuongezeka kwa deni la Taifa ambapo miradi mingi ya Wizara ya Ujenzi imechangia asilimia 7.2 ya deni la Taifa ambalo tulilonalo na sasa riba tunazodaiwa katika miradi mbalimbali ya ujenzi imekuwa ikiongezeka kila kukicha kutokana na kuchelewa kulipwa na deni limefikia Tshs. Trilioni 1.4 (kwa mujibuwa The Citizen la leo 19/3/2015) wanalodai wakandarasi hapa nchini.

Lakini wakati huo huo bado Waziri Magufuli anaendelea ku-sign mikataba mipya huku akijua hakuna fedha kwani ana lengo la kuonekana anafanya kazi ila ni kwa maslahi binafsi ya miradi hiyo.

Hayo ni baadhi tu ya “madudu” ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli
.
[/QUOTE]
Nimesaidia kidgo kwenye panctuation. Pasco
 
Acheni siasa za majitaka! Ushahidi wa hayo usemayo ni upi...hebu weka picha Magufuli akipewa vitita vya pesa! Mlifanyia fitina Pro. Muhongo sasa mwageuzia kwa Magufuli! Lengo ni kuwang'oa au kuwachafua walio tishio kwa mafisadi wanaosaka urais. Poleni sana.
mbon unakuwa mjinga mjinga muhongo kajipalia makaa mwenyw labda nijibu kwanza hapa
je pesa za escrow ziliibiwa hazikuibiwa?
na je ufisadi huo ulifanyika katika wizara gani?
 
vibaraka wa Lowassa acheni kumfuatilia Magufuli

hao sio vibaraka wa Lowassa, fumbua macho

This sort of propaganda, aina ya uandishi hata namna mtu anavyoweka story kwa kulipua wengi inafanana sana na mbinu ya "machinery fulani"

wapishi wa hiyo wapo, na wamesomea kabisa propaganda na wamekua wanaitumia hiyo for over 10 years, the only problem ni kwamba hawabadilishi style kwasababu ni watu haohao

na kwakuwa tuna very low IQ duniani, then tunalambishwa, na tena ukijumlisha na umbayuwayu na undundu wetu basi tunafakamia tu habari

tufunguke macho sasa... Magufuli is a great minister and has done a lot of good job, lakini simply because yuko CCM basi ni mchafu kama wengine

Kumbukeni hii type ya uandishi pia ilitukika kwa Lowassa, Sumaye, Mwandosya, Muhongo etc
 
We Fataki Magufuli angezuia vipi nyumba kuuzwa nawakati wakatiule ubinafsishaji ndo ilikuwa sera ya serikali...ulitegemea vipi, mfano Tanesco ibinafsishwe alafu nyumba zake zibaki serikalini? Au nawewe una akili chakavu?

yaa upo sahihi mkuu angezuia vip isiuzwe wakati kiwira coal mine iliuzwa kwa tsh 70,000,000 na nbc waliuza kwa bei ya kutupa kwa wasauzi ssa wanabadilishana umiliki mara absa na absa ni member wa barclays. Huyu cag ni prof nae simtofautishi uwezo wake na gavana yeye alitakiwa kukagua kwa madaraka yake ni kukagua na si kukaa na waandishi wa habari kabla kazi haijafanyika.ni kazi kupata mtu kama ludovick utoh ki utendaji. Nina mashaka sana na maprof wetu kwa kuwa uwezo wao ki utendaji hata darasa la ngumbaru anaweza kumkosoa ??
 
Nenda pale Oysterbaay anapoishi Magufuli amejenga apartment sita za ghorofa mojamoja na anazipangisha kila moja kwa $ 6,000 kwa mwezi. Pesa za kujenga apartment hizo amezitolea wapi? Huo usafi wa Magufuli upo wapi hapo?
Acheni ujinga nyie. Ivi magufuli kaanza kuwa serikalini kama waziri lini? Mshahala na posho za waziri unazijua? Je yeye aliwa waziri anazuiliwa kukopa?
Kama ni membe au Lowasa jua hatopigwa chini na magufuli bali wajumbe wa ccm wanaopitisha jina. Ama magufuli mnamuonea kwa kuanza kutafuta majungu na kumpaka nayo ili mradi mjiridhishe kuwa nae anafanana na wenu.
Lowasa nitamuunga mkono endapo tu Jembe magufuli hautaki urais. Tunataka raisi mchapa kazi mwenye weredi wa mambo naye si mwingine ila Magufuli
 
Naanza kuona ka 'Element' ka kuwabagua wanasiasa wanaotoka kanda ya ziwa. Magufuli ni mchapa kazi,hizi ni propaganda tena za kitoto!
 
Huyu ndiye rais wangu. Kwa sababu hata kama anaiba ..anachukua ,lakini kazi anayofanya ni kubwa sana. Ndani ya CCM kila mtu mwizi...lakini huyu ni mwizi mstaarabu. Na naweza kuongeza kuwa mbali na Magufuli...hakuna mtu mwingine mwenye unafuu ndani ya CCM. Tuwe makini sana na hivi vijipesa tunavyopewa. Hizi njaa zitatuletea umasikini mkubwa sana katika taifa hili. JOHN POMBE MAGUFULI 2015 -2025
 
Mtu akinitajia jina la Magufuli ninakumbuka sakata la uuzwaji wa nyumba za serikali kwa bei chee hadi mpaka mahawara wake walipewa. Hayo yote yalifanywa na Magufuli
 
Baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa serikali kutaka Waziri wa Ujenzi, Dk. John PombeMagufuli achunguzwe, uozo zaidi katika wizara hiyo umezidi kugundulika.

Magufulimwenye doa kubwa katika sakata la uuzaji wa nyumba za serikali amerekodiwa marakadhaa akiwa anachukuwa fedha za rushwa kwa baadhi ya wakandarasi na mamenejawa Tanroads hadi kufikia hatua mbaya zaidi ya kwenda kuchukua fedha kwenyekambi za wakandarasi wa kigeni.


Mathalanihivi karibuni alipokuwa katika ziara zakukagua barabara katika mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Tabora, Singida alikuwaakipita na kuchukua vitita vya pesa toka kwa wakandarasi na mameneja waTanroads ambao walikuwa wamemtengea mgawo wake.


Mfanomnamo 4/2/2015 majira ya saa moja usiku akiwa wilayani Nkasi mkoani Rukwaalienda kulala kambini kwa Wachina na kuwaamuru wakandarasi hao wampatie kiasicha Tshs. Milioni 300 ili aipitishe barabara hiyo na aendelee kuwapa tendazaidi za ujenzi wa barabara.

Lakini
Wachina hao walijipiga piga huku na kule nahatimaye Magufuri alikabidhiwa Tshs. Milioni 220.
Piaalipokuwa Tunduma, Waziri Magufuli aliendeleza mchezo wake na kutoa agizolililompelekea Meneja mkuu wa Tanroads kwenda kuchukuwa kiasi cha Tshs. Milioni115 toka kwa mkandarasi na kumkabidhi Magufuli kiasi hicho majira ya saa sabamchana.

Wakandarasi hawa ndio wale wanaojenga barabara ya Tunduma mpakaSumbawanga yenye urefu wa kilomita 225.
Waziri Magufuli aliendelea na zoezi lake la kuwakamua wakandarasi na alipofika maeneoya Katavi siku ya Alhamis ya tarehe 5/2/2015, Dkt . Magufuli kabla hajakagua barabara yaKateto-Kibaoni yenye urefu wa KM 20.27 na Sitalike-Mpanda yenye urefu wa KM36.90 zinajengwa kwa kiwango cha lami alimwamuru Meneja wa Tanroadsamkabidhi kiasi cha Tshs. Milioni 185 ili aipitishe ubora wa barabara hiyo naikamlazimu meneja huyo kumkabidhi kiasi hicho majira ya saa 4 asubuhi.

WaziriMagufuli alipoenda Tabora siku hiyo hiyo ya February 5/2/2015
aliwaahidiwananchi wa Sikonge kuwa Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Mpanda-Taborakupitia Sikonge yenye zaidi ya kilomita 359 na siku hiyo hiyo alilala TaboraHotel ambapo majira ya saa 7 usiku alienda meneja wa Tanroads wa mkoani huo nakumkabidhi Waziri Magufuli kiasi cha Tsh. Milioni 173 kama alivyoagizwa kufanyahivyo wiki moja kabla ya kuanza kwa ziara hiyo.

Mara zoteWaziri huyo wa ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli hufanya ziara za kukaguabarabara pale ambapo anajua wakandarasi wanakuwa wamelipwa pesa zao za ujenzi nayeye waziri hupita kuchukua ahsante yake kwa kuwapatia tenda husika ya ujenziambayo huilazimisha wahusika kupewa kwa sababu hujua ana asilimia zake katikamradi wowote ule.


Kama haitoshikuna mradi wa barabara ya Bagamoyo Msata inayofanywa na Subash Patel. Mradi huowa barabara ni dili la Waziri Magufuli na Ridhiwani.

Kwa jinsi watu walivyopigapesa kwenye mradi huu, leo hii ukienda kutembelea mradi huo wa barabara hiyoutaona namna ambavyo barabara ilivyoanza kupasuka hata kabla ya kukabidhiwakwake kutokana na kujengwa chini ya kiwango.


Ikumbukwe miradihii ya barabara imechangia kuongezeka kwa deni la Taifa ambapo miradi mingi ya wizara ya ujenziimechangia asilimia 7.2 ya deni la Taifa ambalo tulilonalo na sasa ribatunazodaiwa katika miradi mbalimbali ya ujenzi imekuwa ikiongezeka kila kukichakutokana na kuchelewa kulipwa na deni limefikia Tshs. Trilioni 1.4 (kwa mujibuwa The Citizen la leo 19/3/2015) wanalodai wakandarasi hapa nchini.

Lakini wakati huo huo bado Waziri Magufulianaendelea ku-sign mikataba mipya huku akijua hakuna fedha kwani ana lengo lakuonekana anafanya kazi ila ni kwa maslahi binafsi ya miradi hiyo.

Hayo nibaadhi tu ya “madudu” ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli.
System at work!!!
 
Matatizo yooote yanatokana na jinsi Magufuli anavyokubalika kwa wananchi kama ilivyodhihirika hapo kwenye hizo clips.
Watz wengine sijui wakoje.Yaani mtu anaharibu nyie mnasema amekubalika.Very strange.Ushajlbiki unaondoa ufahamu jielewe
 
Kama mna ushahidi TAKUKURU ipo. Kama wakizingua lipueni kwenye media.

Kubwabwaja bila mwendelezo hakusaidii.
 
Tuache utani na rushwa.endapo rushwa ingepatikana kwa mfumo huu isingeitwa rushwa.hii ni hadithi za abunuwasi
 
Issue ya kutoa rushwa ni kati ya mtoaji na mpokeaji na inafnyika kwa siri kubwa sana, maana wote wawili wamevunja sheria mtoaji na mpokeaji, sasa wewe taarifa hizi umeitoa wapi kwa mpokeaji au mtoaji?kama kwa mtoji kwa nini asilalamike kwenye vyombo husika?kama mahakimu wanakamtwa kwa rushwa je huyu mmwenye tabia hiyo itakuwaje ?ACHA UNAFIKI MTOA HOJA KAMA UMETUMWA POTEA KABISA AL NUKSI KUL BALAA MKUMBWA!
 
Back
Top Bottom